Mwanaume; ungechagua yupi? Honestly lakini.

Mimi napenda No 2. My first gf aliniweka kiroho juu kwa mika mitatu, nilikuwa sijiamini kama kweli atakubali kuingia kwenye final commitment, na kweli aliishia na kuolewa na mlokole mwenzie. I like to compite but i end up being the looser.
However, kaunga usizunguke, tangaza tu nia and will be the first to pm, as i have all the expected qualities. i am all eyes!

Kizamani, Asante kwa kufunguka; ila nina kaombi kaduuchu. How do u deal with loosing? Maana some of us, kushindwa kunatuathiri sana.

About kutangaza nia, nilishatangaza kuwa l am deeply in love.
 
Mwanamke umbeya sunna babu we!

Lkn huoni nakusaidia mahusiano yako yawe more exciting.

Wakinipiga chini nakuoa wewe wallah. Mwanamke hunipi sababu ya kukuonea wivu na kukuhangaikia, si bora nimuoe dada yangu? Will you marry me Kaunga?
 
Last edited by a moderator:
kuna vitu viwili tofauti hapa

kuna wife first

na girlfriend au kiburudisho second.....

Aha, nilikuwa namaanisha mke!
Tatizo kwako wewe na muongozo wako wa cheating u might eat your cake n still have it. Namaanisha utakuwa na mke ambaye unataka awe faithful na small house ambaye anakurusha roho.

Let's assume you have only one, who will that be?
 
Wakinipiga chini nakuoa wewe wallah. Mwanamke hunipi sababu ya kukuonea wivu na kukuhangaikia, si bora nimuoe dada yangu? Will you marry me Kaunga?

Haha ha, u know the vigezo na masharti! LOL
 
Last edited by a moderator:
kuna vitu viwili tofauti hapa

kuna wife first

na girlfriend au kiburudisho second.....

sasa sijui wewe Kaunga ulikuwa una maanisha nini?

mi we ungekuwa mume wangu mbona ningekuwa nakoma!yani kweli hii theory ya kiburudisho na wa home imekukaa dah!mpaka wantisha mie!
 
Aha, nilikuwa namaanisha mke!
Tatizo kwako wewe na muongozo wako wa cheating u might eat your cake n still have it. Namaanisha utakuwa na mke ambaye unataka awe faithful na small house ambaye anakurusha roho.

Let's assume you have only one, who will that be?

Mke anatakiwa awe 'nyumbani'
lazima u feel home with her

kurushana roho never.......nahitaji mke awe ambae
hata tu kuhisi ananizingua nisihisi.....

we call it 'boring rich life'....lol
 
mi we ungekuwa mume wangu mbona ningekuwa nakoma!yani kweli hii theory ya kiburudisho na wa home imekukaa dah!mpaka wantisha mie!

wewe as wife au as kiburudisho?
as wife wala hata usingehii kuna viburudisho
as kiburudisho ungejua tu sitaki wife wangu awe disturbed...
ningekoma kivipi?
 
Mke anatakiwa awe 'nyumbani'
lazima u feel home with her

kurushana roho never.......nahitaji mke awe ambae
hata tu kuhisi ananizingua nisihisi.....

we call it 'boring rich life'....lol

Thanks kwa mtizamo wako wa upande mwingine. Bado sijawasikia kaka zangu wengine, KIKUNGU na Fighter, mpooo?
 
Last edited by a moderator:
wewe as wife au as kiburudisho?
as wife wala hata usingehii kuna viburudisho
as kiburudisho ungejua tu sitaki wife wangu awe disturbed...
ningekoma kivipi?

ah sijawahi kuwish kuwa the other woman bwana!sa nitakuexploit vipi?maswala ya kugawiana masaa nikijua si wangu akha!
 
Haha Kaunga, waliulize Yanga walivofungwa matano, si walijipanga ili michi ingine wasifungwe tena, na ikwa hivo. hata mimi nimejipanga ili in anathoer relationship i will end to be the winner. Mbona sijaona quality ukizimwaga, sijasoma thread zote lakini kwani ni nyingi.
 
Back
Top Bottom