Mwanaume; ungechagua yupi? Honestly lakini.

lara 1, nashukuru kwa uhonest ulioonesha; haimaanishi wengine sio honest lkn kukubali unpopular choice I salute you.

Bado nasubiri michango ya wakaka na wababa wa MMU.

Watu wapo na wake zao humu!!! Wakichagua namba 2 hawapewi unyumba mwezi mzima!!! Japo moyoni KIPYA HAKINYEMI INGAWA NI KIDONDA!!!!!! Mimi kuna buzi langu humu likiona nimeopt 1 lisije kunitake for granted bureee, POSHO ZA JF SITTING ALLOWANCE ZIKAPUNGUA!!!! Jiwe nimerusha gizani ukisikia paaa ujue imekukosa!
 
Kuna mama mmoja (in her 50s), mumewe ana wake 3; yaani she is so sweet, kind na caring (si mgomvi kabisa) ndio mke mkubwa, mke wa 2 ni mcharuko kwa kwenda mbele lkn ndio favourite wa huyo mbaba (ni muhasibu wetu).
So ktk story, Yule mama akaniambia, kuwa wanaume wanapenda watu wanaowasumbua na si wale waliotulia. Nikorefer uzi wa MwanajamiiOne wa juzi ndio maana nimeona niwaulize wanaume wa humu, watupe mtazamo wao.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wanao-Challenge ndiyo wanasababisha maendeleo makubwa kwa Wanaume zao.

(Nswalu, ninamaanisha ile mboga yenye Mlenda ndani. Nimepewa na sijui jinsi ya KUIPIKA. Nashukuru kwa jibu, kesho NSWALU kwa saaana.)
Thanks kaka yangu wa ukwelii, nami nahisi wengi wanapenda kusumbuliwa sumbuliwa.

Ofcourse tunatumia karanga za kukaranga (kukaanga), una maanisha nini lakini?
 
Absolutely wa pili!!!! Competition muhimu wewe! Tatizo ukishaona mtu ni wako, automitically unaanza kumtake for granted, ila kukiwa na ushindani mkali akili inakaa poa! Even in bed they taste better, considering the work that you have put in to get them t
o bed with you!!!!! LMAO!!!!!!!!!!!!!

this only applies kama u view getting laid ni kamchezo ambapo ushindi nipale ambapo utamvua chupi mwanamke
 
Wanawake wanao-Challenge ndiyo wanasababisha maendeleo makubwa kwa Wanaume zao.

(Nswalu, ninamaanisha ile mboga yenye Mlenda ndani. Nimepewa na sijui jinsi ya KUIPIKA. Nashukuru kwa jibu, kesho NSWALU kwa saaana.)

Got you.
Umepewa ilishasagwa? I mean unga uliochekechwa? Kama ndio.

Tafuta peanut butter iliyo laini (American garden product ni nzuri), halafu changanya na unga ule wa nswalu.

Sigina pamoja (meza na chupa will do, najua mbehe huwezi pata). Mchanganyiko utengeneze pale green color, ni bora karanga izidi kuliko kuwa ndogo.

Heat the pot kwenye jiko (uwe na maji ya moto pembeni)

Weka donge la nswalu + karanga, then add hot water kidogo kidogo huku ukilikoroga (usisahau chumvi).

Ukipata ulaini kama uji then iache ichemke na ipunguze wepesi (layer ya mafuta itakuwa inaonekana juu).

Enjoy you ugali nswalu, upate na mtindi pembeni!

KARANGA ni za kukaanga yes, na si mbichi.
 
Kuna mama mmoja (in her 50s), mumewe ana wake 3; yaani she is so sweet, kind na caring (si mgomvi kabisa) ndio mke mkubwa, mke wa 2 ni mcharuko kwa kwenda mbele lkn ndio favourite wa huyo mbaba (ni muhasibu wetu).
So ktk story, Yule mama akaniambia, kuwa wanaume wanapenda watu wanaowasumbua na si wale waliotulia. Nikorefer uzi wa MwanajamiiOne wa juzi ndio maana nimeona niwaulize wanaume wa humu, watupe mtazamo wao.

Sasa Eiyer asubirie timbwili......hapa Kaunga anadipu kupima theory yake
 
Last edited by a moderator:
Got you.
Umepewa ilishasagwa? I mean unga uliochekechwa? Kama ndio.

Tafuta peanut butter iliyo laini (American garden product ni nzuri), halafu changanya na unga ule wa nswalu.

Sigina pamoja (meza na chupa will do, najua mbehe huwezi pata). Mchanganyiko utengeneze pale green color, ni bora karanga izidi kuliko kuwa ndogo.

Heat the pot kwenye jiko (uwe na maji ya moto pembeni)

Weka donge la nswalu + karanga, then add hot water kidogo kidogo huku ukilikoroga (usisahau chumvi).

Ukipata ulaini kama uji then iache ichemke na ipunguze wepesi (layer ya mafuta itakuwa inaonekana juu).

Enjoy you ugali nswalu, upate na mtindi pembeni!

KARANGA ni za kukaanga yes, na si mbichi.

Sijapenda maelezo yako kutia kizungu na sijui mi-peanut butter ya maamerika gadeni, unaharibu kabisa ladha ya nswalu kabla haijafika mezani
 
Sweetie,sina haja ya kujaza kurasa hapa kwa msururu wa maneno.MWANAUME anaejiamini anazungumza mara moja tu,nami kwa furaha tele napenda nikuambie tu kuwa NAKUPENDA NA NAKUHITAJI . . .Loi!
 
Uaminifu kwa wanaume upo? Bora usimwamini mwanaume 100% maana ukifanya hivyo halafu ukakuta otherwise utaombe ardhi ipasuke ujizike!!! Hata wanaume hasa kwa mahusiano ya siku hizi usiamini sana mtu. Cha msingi ni ku-assume hakuna kitu hata kama kipo ili maisha yaendelee.
 
(kwenu?).....Hivi kuruka na ungo ni uchawi eeh, halafu angalia usije kutukana shemeji zako, wakwe zako na wifi zako.

Hapana, hiyo sio uchawi ni sayansi kimu hiyo! LOL

Duh, l take back my question n my comment.
 
Sweetie,sina haja ya kujaza kurasa hapa kwa msururu wa maneno.MWANAUME anaejiamini anazungumza mara moja tu,nami kwa furaha tele napenda nikuambie tu kuwa NAKUPENDA NA NAKUHITAJI . . .Loi!

Thank u sana! Mmmwaaaah!
 
Msamehe dada yangu bana. Hizi lugha kweli zinasumbua saaana maana mtu mmoja unaongea lugha kama 3 kila siku.

Kaunga, sasa sisi tusio USA si itakula kwetu? Hadi nisubiri KINYOLE cha USA kifike SIKONGE, Mwanangu Chellu Kansimba atakuwa anatembea eti..... na Nswalu zimeshaota uvunde (wulee!?!?).

Ntasaga tu NHARANGA zangu hapa kwenye Kakinu ka mezani maana pamoja na kuwa na LUBEHE miaka mingi, nilishashindwa kabisa kuutumia.

Nswalu nilipewa hazijasagwa na kama hawatakata umeme hapa SIKONGE, basi kimashine hiki ninacho maana huwa mpenzi wa vimashine kama hivi hapa chini nilivyovikusanya miaka kadhaa nyuma wakati nikiwa nchi za watu :)
BD_CBM3-2.jpg
coco.jpg

Back
Top Bottom