Mwanaume; ungechagua yupi? Honestly lakini.

Sijapenda maelezo yako kutia kizungu na sijui mi-peanut butter ya maamerika gadeni, unaharibu kabisa ladha ya nswalu kabla haijafika mezani

Nilikuwa namrahisishia kaka yangu, unajua wifi hawezi twanga na kusigina twili, halafu huko 'Sikonge' anaweza pata kinyole kilichohifadhiwa kwenye chupa tayari. LOL
 
Kuwa na mpenzi ambaye unaamini kwa kiwango kikubwa kuwa ni wako, hana mtu mwingine; au

Kuwa na mtu ambaye anakuweka roho juu (sio sana lkn), na hujiamini 100%?

Majibu ya dhati tafadhali!
!!!

Mi huyu wa pili, sababu
1. Atanifanya niwe responsible daima
2. Atanifanya niwe mbunifu kwa imani ipo siku nitaunyaka moyo wake
3. Bila shaka atakuwa wa kiwango na si DUNGAEMBE, nitatesa kitaa, job au hata klabu
 
Hiyo no tatu, chukulia kuna identical twins wanatanana kila kitu kasoro tabia tu, mmoja bonge la faithful na mwingine mtata!
 
yupi unampenda??

Kama hujajua sana unampenda nani, yupi anakufanya ujisikie 'mwanamke'?

Good one!
Lkn tuchukulie ndio unameet na twins (identical), will u be atracted to the one who is like crazy about u au yule ambaye anakufanya usijiamini amini. Sio love at the first sight ujue.
 
Na ntajiaminije kuwa ni wangu? Nataka mwanamke atakayenipa challenge nihangaike na kujiaminisha pasi na shaka kuwa ni wangu.

Halafu ukisgajiaminisha pasi shaka, na asipokupa sababu ya kumtilia wasiwasi utaridhika au unataka Yule ambaye siku zote unakuwa unahangaikia kujiaminisha pasi shaka kuwa anakupenda?
 
Absolutely wa pili!!!! Competition muhimu wewe! Tatizo ukishaona mtu ni wako, automitically unaanza kumtake for granted, ila kukiwa na ushindani mkali akili inakaa poa! Even in bed they taste better, considering the work that you have put in to get them to bed with you!!!!! LMAO!!!!!!!!!!!!!

Huu ndo ujinga ambao huwa siutaki kabisa ktk maisha yangu, competition for a woman? Ana kitu gani kuliko wengine? If she doesnt respect I dont give a ****!
 
Hiyo no tatu, chukulia kuna identical twins wanatanana kila kitu kasoro tabia tu, mmoja bonge la faithful na mwingine mtata!

Nafasi ya kuonja ipo? Nitachagua mrembo na aliye mtamu, huyo mrembo na aliyepoa cmtaki bana!!!

Kaunga haya mambo ya tabia ni relative, wapo ambao wanapenda wadada waliomatata(me inclusive). Na hizo relationships za kuwekana roho juu ndo zinadumu koz yu pay maximum attention, kumbuka kimya kirefu kinamshindo mkubwa. Kwangu mimi kheri nimjue mapema nitajua namna ya kumhandle!!
 
Mimi napenda No 2. My first gf aliniweka kiroho juu kwa mika mitatu, nilikuwa sijiamini kama kweli atakubali kuingia kwenye final commitment, na kweli aliishia na kuolewa na mlokole mwenzie. I like to compite but i end up being the looser.

However, kaunga usizunguke, tangaza tu nia and will be the first to pm, as i have all the expected qualities. i am all eyes!
 
Halafu ukisgajiaminisha pasi shaka, na asipokupa sababu ya kumtilia wasiwasi utaridhika au unataka Yule ambaye siku zote unakuwa unahangaikia kujiaminisha pasi shaka kuwa anakupenda?

Nataka yule anipaye sababu ya kuhangaika ili nijiaminishe pasi mashaka kuwa ni wangu. Kila siku mpya na challenge mpya, na kila challenge najidhihirisha pasi na shaka kuwa ni wangu. Wallah inakuwa kama nambikiri kila mara. Kuliko kila siku maharage ndio maharage. Kukinai hakuna uzoefu ujue.
 
Asante moto2012 kwa kufunguka kihonestly! Salute bro.
 
Last edited by a moderator:
Nataka yule anipaye sababu ya kuhangaika ili nijiaminishe pasi mashaka kuwa ni wangu. Kila siku mpya na challenge mpya, na kila challenge najidhihirisha pasi na shaka kuwa ni wangu. Wallah inakuwa kama nambikiri kila mara. Kuliko kila siku maharage ndio maharage. Kukinai hakuna uzoefu ujue.

Thanks Asprin kwa kuwa wazi? I am sure cacico, BADILI TABIA, Yummy have heard; gals be watata that is the only way mtamkeep hubby wenu. LOL
 
Last edited by a moderator:
Mie niliwahi kuwa nao wote hao,

Kwa hiyo najua maana yake kwa marefu na mapana.....

Siku nyingine (ugoro ukikolea), Babu atawapigia story!

Babu DC!!
 
Mie niliwahi kuwa nao wote hao,

Kwa hiyo najua maana yake kwa marefu na mapana.....

Siku nyingine (ugoro ukikolea), Babu atawapigia story!

Babu DC!!

MwanajamiiOne kamletee ugoro Babu DC ili atupe maujuzi yake.

Pls tupe hata abstract tu!
 
Last edited by a moderator:
kuna vitu viwili tofauti hapa

kuna wife first

na girlfriend au kiburudisho second.....

sasa sijui wewe Kaunga ulikuwa una maanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom