Mwanaume; ungechagua yupi? Honestly lakini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume; ungechagua yupi? Honestly lakini.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaunga, Sep 17, 2012.

 1. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Kuwa na mpenzi ambaye unaamini kwa kiwango kikubwa kuwa ni wako, hana mtu mwingine; au

  Kuwa na mtu ambaye anakuweka roho juu (sio sana lkn), na hujiamini 100%?

  Majibu ya dhati tafadhali!
   
 2. H

  Helios JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  obviously the first inahusika
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mie sio mwanaume Kaunga ila ningechagua hiyo ya kwanza!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,233
  Likes Received: 7,880
  Trophy Points: 280
  Absolutely wa pili!!!! Competition muhimu wewe! Tatizo ukishaona mtu ni wako, automitically unaanza kumtake for granted, ila kukiwa na ushindani mkali akili inakaa poa! Even in bed they taste better, considering the work that you have put in to get them to bed with you!!!!! LMAO!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,437
  Likes Received: 28,271
  Trophy Points: 280
  Ningependa kuwa na yule ambaye ni mkweli na si msanii.

  Yaani kama ana hamu na wengine basi na aniambie ili tukubaliane namna ambavyo mahusiano yetu yawe.
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,632
  Likes Received: 8,185
  Trophy Points: 280
  Namba moja
  sipendi danganya wala danganya
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  lara 1, nashukuru kwa uhonest ulioonesha; haimaanishi wengine sio honest lkn kukubali unpopular choice I salute you.

  Bado nasubiri michango ya wakaka na wababa wa MMU.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,350
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
  Kaunga samahani lakini what r u up to nowdays?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,437
  Likes Received: 28,271
  Trophy Points: 280
  She's up to no good :majani7::majani7:
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,780
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  unahisi kama anatangaza jimbo huru muda si mrefu enh?umeshtuka sahihi kabisa mwanafunzi wangu!lile somo la speculation ulipata A.hata mi simwelewi mtani wangu kwa kweli mara aseme havai pichu,ah!
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Jamani mbona swali rahisi tu, au ni rahisi sana kiasi kwamba you think l have a motive behind eeh?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mie ntachukua wa PILI.

  BTW: Swali kwa Kaunga/Wanyamwezi => Ukitaka kupika nswalu, unazisaga na karanga mbichi au zilizokaangwa??
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Umeimiss moja, mara aseme Boflo kamuibia!

  Noway, mimi na Eiyer until boflo to us apart! LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Thanks kaka yangu wa ukwelii, nami nahisi wengi wanapenda kusumbuliwa sumbuliwa.

  Ofcourse tunatumia karanga za kukaranga (kukaanga), una maanisha nini lakini?
   
 15. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 3,472
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  You sound like Mr. Zimmerman...kwi kwi kwi!.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,437
  Likes Received: 28,271
  Trophy Points: 280
  Ntake radhi aisee....
   
 17. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kaunga ....sitaki uchokozi wako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 3,472
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha...sorry pal!.
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Kuwa na mpenzi ambae naamini ni wangu sitaki kwa kuwa naweza nikaamini ni njano kumbe ni bluu,ila nahitaji yule mwenye matendo ya kuonesha ni wangu tu.Kuhusu kuwekana roho juu,mh!Tuwekane roho juu for what purpose??
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,780
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  ah mi hata sikuelewi siku hizi mtani!
   
Loading...