Dunia imechemka siku hizi. Kwenye hizo 2 hakuna hata moja. Mnakubaliana muishi vipi. Unaweza dhani ni hivi kumbe vile. Maombi ni muhimu.
Design hiyo vizuri vitakushinda sanaa! Logic iko hivi, mtu akiwa bomba kila mtu anamtaka, tena kwa gharama yeyote, sasa ukijitoa ndo vizuri unatupunguzia ushindanii sie wapenda UBINGWA!
Hahahaha.... labda uniambie unamaanisha nini kwenye huo utulivu kiasi kwamba ujiaminishe uko peke yako.... Kwamba hana mawasiliano na kiumbe chochote chenye jinsia tofauti naye? Hana E-Mail address? Hana simu?nyumba kubwa you got it wrong, maana yangu ni kuwa sifa za nje hazihusiki, meaning kama ni uhandsome hakuna anayemzidi mwenzake; tofauti say mmoja ametulia kiasi kwamba you are almost sure kuwa uko mwenyewe, ila wa pili anakuweka roho juu juu (kind of flirt) na hujiamini kama u are the only one!
Si kwamba ni reject au havutii, they both vutia!
Ndio maana nikasema kuna watu wanapenda reject huku wanajua kabisa ni reject...ukikutana na watu kama hao kitaani akyanani hawatoi introduction...eti huyu wife au husband...mh
Ushawahi kushangaa baada ya kumuona mke au mume wa mtu unayemjua taste zake afu mke au mume ni opposite? Umeshaona re action ya watu kama hao wakikutana na washkaji huku wako na wenza wao?
Kuwa na mpenzi ambaye unaamini kwa kiwango kikubwa kuwa ni wako, hana mtu mwingine; au
Kuwa na mtu ambaye anakuweka roho juu (sio sana lkn), na hujiamini 100%?
Majibu ya dhati tafadhali!
Ananiweka roho Juu sababu ya ulimbwende wake au sababu ya Tabia zake?
Really, hakuna vicheche?
Hakuna waaminifu?
Sidhani, labda uniambie no moja ni adimu kupatikana Caroline Danzi
Mwanaume lijari ni yule ambae haaminiki 100%
Kuwa na mpenzi ambaye unaamini kwa kiwango kikubwa kuwa ni wako, hana mtu mwingine; au
Kuwa na mtu ambaye anakuweka roho juu (sio sana lkn), na hujiamini 100%?
Majibu ya dhati tafadhali!
Watakusikia, hawatakuelewa wala kukuamini. Kula kobisi, wabaki wanashangaa na roho zao
3 King'asti 1:15
Hivi ni kweli madameB amekupiga kibuti aisee? Nina neno la faraja kwako ila inabidi utoe sadaka.
Hajanipa habari ya kunipiga kibuti.
Labda kinakuja au kinaandaliwa.
Naomba neno la faraja kabisa!