Mwanaume; ungechagua yupi? Honestly lakini.

Heeeeeeeeeee...Kumbe siku hizi umekuwa mtume na nambii??

Umerudi lini toka Nollywood kuwa ordained King'asti??

Babu DC!!

Naona mambo town hayaendi, nimeacha binduki nimeanzisha dini yangu na kitabu changu. Uje ujiandikishe kwenye daftari la zaka, nikiteua wazee wa baraza nikufikirie tokana na uzito wa sadaka. Ila kama pensheni ulishamaliza usije babu.
:bump2:
 
Hongera sana Komando...Ila jitahidi siku moja akili isifikirie tena ule mtutu!!

Ila kwa hili la kumkaribisha Babu, naona umekwama...Try next time...

Babu DC!!
 
Du! mimi kwa kweli mambo ya kuwekana roho juu sitaki!! Hivo namba moja inahusu sana akiwa macho juu tu hilo nasepa maana wa moja havai mbili!!
 
Back
Top Bottom