Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

Arria

Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
15
Reaction score
21
Habari zenu wapendwa

Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mrefu na mimi kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu.

Nimechukia sana jamani sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi
kwa mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na wewe kimapenzi?
 
Hapo kweli kakukosea ila yawezekana ,umekula pesa zake ?? Vitu vyake kibao ??.

Yawezekana ulikua unampa mazingira ya moyo nayeye akawa anajua siku moja yes ???.

Alafu Leo ndo unamwambia sikutaki ? nayeye nibinadamu kwanza alipokuambia *nilikuambia nakutania ,mtu mwenyewe wakawaida sana* bila shaka nawewe umeumia kiasi ukashika kioo ukajitazama.

Sema nini kweli mwanamke akiringa muache aende zake ila kamaa haumtaki mtu makatae ,pale pale unamchana.

Sio ule ela zake + zawadi+mambo mengi Alafu ndo useme *am sorry Putin ,me have my boyfriend*....kirahisi ivo bora alokutana mimi nakudai vyote ulivyokula.
 
Hapo kweli kakukosea.

Ila yawezekana ,umekula pesa zake ?? Vitu vyake kibao ??.

Yawezekana ulikua unampa mazingira ya moyo nayeye akawa anajua siku moja yes ???.

Alafu Leo ndo unamwambia sikutaki ??. Nayeye nibinadamu kwanza alipokuambia *nilikuambia nakutania ,mtu mwenyewe wakawaida sana* bila shaka naww umeumia kiasi ??? Ukashika kioo ukajitazama?…

Sena nini
Kweli mwanamke akiringa muache aende zake ILA KAMA haumtaki MTU MKATAE ON THE spot ,pale pale unamchana.
Sio ule ela zake + zawadi+mambo mengi Alafu ndo useme *am sorry Putin ,me I have my boyfriend*....kirahis ivo???? Bora alokutana ,Mimi nilikua nakudai vyote ulivyokula.
sijawah kula hata sh. mia kutoka kwake jamani
 
sijawah kula hata sh. mia kutoka kwake jmn
Sawa basi nakama hukua unampa.mazingira ya "Mvumilivu hula mbivu" basi amekukosea sana .

Maana nyi wanawake, mnaweza kumpa moyo sanaaaaa mtu baadae mkampa chambavu[emoji23] .

Amekusikia mwaya ,,oyaaaa usirudie kumtukana mrembo Ladylove unamkosea ,, hastahili kabisa matusi yako, mwache binti wawatu apumue.

Ila pole mwaya ,Sasa hivi nisaa sita nanusu kwa saa za A.mashariki ,,you look so lonely !!.
 
Amenitukana matusi siwezi kuyaandika hapa zaidi ya hicho
 
Habari zenu wapendwa

Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....

nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...

all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Mpotezee tu mrembo.
 
Mwanamke kama binaadamu mwingine yeyote yule una haki ya kuyatetea na kuyasimamia maamuzi yako! Wewe fanya CTL-ALT-DELETE huyo mtu!
 
Habari zenu wapendwa

Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....

nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...

all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Katoa nyongo kapata nafuu... Umefanya vizuri kutomjibu
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mambo ya kizamani Sana a. k. a Zilipendwa.

Pole Sana binti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom