Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

Si nakutana na wazee wenzangu.

Na muda mwingine vibenten ila shida sasa ni kero kama hizo.!
Hahaha! Si mchezo ukiona ivo ujue bado una mvuto.....vipi uko wapi cku iz singida au dar?
 
Daah nmekumbuka kitambo naanza kunyatia watoto wa kike, kuna mmoja alkua mkali class zima jamaa zangu wakanipamba maneno mfate wewe bhana yule mnaendana.

Nikajitutumua mzee hadi kwa mtoto wa kike apo hadi naenda kumwambia tayari alishaonesha dalili kama ananielewa kimtindo me nkajua mrembo kanizimia ila anashindwa kufunguka.

Nikamfuata nimwambie yanayousibu moyo majibu niliyopewa "Mmh! Makubwa, yani wewe uwe na mimi haiwezekani me nna mtu afu nakupenda kama rafiki tu"

Enzi izo hata jinsi ya kumbembeleza mtu na maneno sijui nlivoambiwa ivyo nikaufyata kwa aibu nkasepa zangu, ikawa nikimuona mbele nabadili njia.

Washkaji wakawa wakiniuliza nawaambia bado sijamwambia ntamwambia kumbe nmechezea cha mbavu.

Baada ya siku kadhaa nkapata kadem kengine nako kalikua kazuri japo hakamfikii yule wa mwanzo ila si unajua sometimes jinsi unavokua na mtu ndo unazidi kumpenda.
Yule dem baada ya kujua nipo na uyu mwingine alinifata akanitukana sana akidai eti me ni muongo kwanini nilimtongoza akati nna mtu mwingine kumbe kalijua ntakabembeleza ile sitaki nataka kakaanza kunisumbua.....

Kisa kirefu sana hiki yani nkikumbuka nacheka sana ila watoto wa kike akili zenu mnazijua wenyewe..
tumegee hako ka kisa siku iende fuleshi
 
Huo ni upimbi wa hali ya juu au unamchukia..

Jamani kuna maisha baada ya kuachana au kukukatalia halafu sioni kama jambo ya kuchukia au kutukana maama kutongoza ni kujaribu na ww ni shujaa haijalishi umekubaliwa au umekataliwa..

Tunafeli pale tunapotukana au mchukia mtu kisa umetolewa nje au mmeachana
 
Habari zenu wapendwa

Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....

nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...

all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Ulikuwa una haki kabisa ya kutukanwa afu bado mshamba utatowaje namba kwa mtu ambaye haupo interest nae ulikuwa unawaza nini sisi wanaume hatunaga urafiki na madem mambo mengi mnasababishaga usumbufu wenyewe
 
%85 yawanaume wanatabia hiy unakuta mean kamtongoz dem mkali kinyam alaf akamchomolea baad ya siku unakuta anaaza kumuwekea bif ambaz hazina maan onyo wanaume msipende kuwa ving'asti Kwa madem ambao hawan hisia na nyinyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom