Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

hakuna sababu nyingine... the thing is that mm huwa sina tabia ya kununa I always smile, hata kama nimechukia huwez kujua.. sababu ni kwmba nilikua namjibu siko tyr kuwa nae with a smile so yy akaona lbda namzungusha zungusha tuu ntakubal...
sasa kagundua kua sina mpango nae ndo kaamua kunishushia matusi
mmh makubwa ..mjibu akili unazo kwanza
 
Habari zenu wapendwa

Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....

nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...

all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Kwanza wewe jina lako lenyew kunashidagani "ladylove"anyway back to the topic,,,unajua nyie wanawake sometimes mnakuwa chanzo cha matatizo,,,ivi kweli wewe MTU kakutongozaa Kwa MDA mrefu huo,hujawahi mwambia on spot kama unampnda,umemkubalia au laa,,inamana jamaaa alikuwa akijipa moyo siku moja ndio,,,,,,Ila wewe ukakaa kimya mpk utukanwe ndoujee kulalamika hapa,,,, nahuendaa umekula hela zake mingi Tu,,,kwahy you deserve this
 
Huyo atakuwa mwanaume wa mkoa.. ,wa dar hawafanyi hivyo...[emoji4] pole shost huyo ni mlugaluga mwanaume kamili huwezi tokwa matusi kisa umekataliwa,.
HII NAUNGA MKONO MIA MIA ANATUABISHA SISI WANAUME KAZI TULIOPO DAR
 
Habari zenu wapendwa

Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....

nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...

all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Possibly kuna mambo kakufanyia mengi, yani kagaramika.
Then unakuja kumtupia kwenye dustbin. Ila pole kwa yote
 
Na wewe mwanamke, ulie timamu unatoaje mimba kisa mwanaume kaikataa. . .
 
HII NAUNGA MKONO MIA MIA ANATUABISHA SISI WANAUME KAZI TULIOPO DAR
Wadar hamfanyi hivo kwa7bu nyie hamna nguvu za kiume chip's zimewaathir Ila Sisi wamikoani mnaraa unasoma 5G kwahy tunasach ni kwwli kabsa ulivosema big up mwanamme wa dar Ila pole kwakukosaa nguvu zakiumee pia maana unakosa ving vizur
 
HIZO NYIMBO TU...MIMI NIKO DAR NA NASHUGULIKIA IPASAVYO MKUU......HATA NKISAFIRI NKAENDA MKOANI NINA MICHEPUKO INAPANDWA NA HAMU INANIMISS......TENA AKIKUKATAA UNATUMIA MBINU TU...UNAMKAJLI ANAKUJAMWENYEWE UNAMPA DUSHE LA NGUVU ...KABISA...SIKU MOJA NIKAWAPA WAWILI KAJA MMOJA HADI SAA MOJA KASEPA WA SAA MBILI KAJA HADI ASUBUHI...WANAULIZA UMEKULA NIN..ALIYESEPA ANASEMA VIUNGO VINAUMA.....MIMI NAJIVUNIA KUWA DAR....KASORO ZAKE TU HIZI UJUE KUISHI NAZO ...

CHIPSI SIO CHAKULA CHA KIUME
 
Hahaaa kuna mmoja kanituka juzijuzi
Nikamrekodi baada ya kukata simu nikamtumia voice record.
Nikamwambia ajisikilize apime level ya uanaume wake.
Mpaka leo naona kimya.
 
Hahaaa kuna mmoja kanituka juzijuzi
Nikamrekodi baada ya kukata simu nikamtumia voice record.
Nikamwambia ajisikilize apime level ya uanaume wake.
Mpaka leo naona kimya.
HAPO UMETUMIA AKILI NA BUSARA,..UNGEKUWA MCHARUKO UNGEANZA KUJIBIZANA NAYE. U DID WELL
 
Hahaaa kuna mmoja kanituka juzijuzi
Nikamrekodi baada ya kukata simu nikamtumia voice record.
Nikamwambia ajisikilize apime level ya uanaume wake.
Mpaka leo naona kimya.
Saa nyingnee mnakeraa sanaa... Afu manakatabia kakusema Sikutegemea kama uko hivyoo??? Shwain unaletaa ujingaa unataka nikuchekeee tuu... Me kuna mmoja alinipiga zinga la 20 alafu akaanza kuniona bwegee etiu mshambaa shenzi... Sijawahii tukana mwanamke ilaa yulee aliyaogaaa......
 
Mi ukinitukana unapoteza tu muda

Nitakusikiliza au naweka simu hapo naendelea na shughuli zangu naacha record
Baadae nakutumia tena wakati hasira zimetulia ujione ulivyo.
 
Mi ukinitukana unapoteza tu muda

Nitakusikiliza au naweka simu hapo naendelea na shughuli zangu naacha record
Baadae nakutumia tena wakati hasira zimetulia ujione ulivyo.
Yanii wee ufanya ujuavyoo ilaa ujumbee utaupataa tuu...!! Maana sina cha kupotezaaa...
 
Mi ukinitukana unapoteza tu muda

Nitakusikiliza au naweka simu hapo naendelea na shughuli zangu naacha record
Baadae nakutumia tena wakati hasira zimetulia ujione ulivyo.
Yaan hornet na umri wako wote huo bado tu wanakutongoza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom