... kwanza hana ela za kunipa mm
Kwa majib haya inawezekana ulimjib hovyo na yeye akaamua kufyatuka kishujaasijawah kula hela zake... kwanza hana ela za kunipa mm
Nilitegemea hili jibu wakat nasoma comment yakesijawah kula hata sh. mia kutoka kwake jmn
Pole dada, umekutana na boy not a man. Real man hutamsikia akitoa kauli chaf kama hizo.Habari zenu wapendwa
Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....
nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...
all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Lakini kwanini ukatae ? huo ni uonevu na uvunjwaji wa haki za wanaume.Habari zenu wapendwa
Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....
nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...
all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Hahaaaaa wanaume tunaposemaga kuwa nilikuwa nakutania huwa tunakera sana halafu hapo patakuwa na sababu nyingine ambayo imechangia mtoa mada kutukanwa ijpokuwa sio kama namtetea mtukanaji hapana but patakuwa na sababu tu maana wanaume wanaotukanga wanawake waliowakataa niwale vijana vijana nasio watu wazima na akili zao labda mtoa mada atuambie kuwa huyo mwanaume ni type yakina 20percent ..Hapo kweli kakukosea.
Ila yawezekana ,umekula pesa zake ?? Vitu vyake kibao ??.
Yawezekana ulikua unampa mazingira ya moyo nayeye akawa anajua siku moja yes ???.
Alafu Leo ndo unamwambia sikutaki ??. Nayeye nibinadamu kwanza alipokuambia *nilikuambia nakutania ,mtu mwenyewe wakawaida sana* bila shaka naww umeumia kiasi ??? Ukashika kioo ukajitazama?…
Sena nini
Kweli mwanamke akiringa muache aende zake ILA KAMA haumtaki MTU MKATAE ON THE spot ,pale pale unamchana.
Sio ule ela zake + zawadi+mambo mengi Alafu ndo useme *am sorry Putin ,me I have my boyfriend*....kirahis ivo???? Bora alokutana ,Mimi nilikua nakudai vyote ulivyokula.
Kweli kabisa Mkuu ...kukataliwa tu??? Hapana kuna sababu ingineHahaaaaa wanaume tunaposemaga kuwa nilikuw nakutania huwa tunakera sana...halafu hapo patakuwa na sbabu nyingine ambayo imechangia mtoa mada kutukanwa ijpokuwa sio kama namttea mtukanaji hapana but patakuwa na sbabu tu maana wanaume wanaotukanga wanawake waliowakataa niwale vijana vijana nasio watu wazima na akili zao ..labda mtoa mada atuambie kuwa huyo mwanaume ni type yakina 20percent ..
haiwezkani mtu akutukane tu kisa umemkataa kuna alichomfanyia zaidi ya hiki alichotueleza ..mtoa mada awe muwazi
kabisaaaaa..huwa hawasemagi ukweli hawa. wanataka public sympathyKweli kabisa Mkuu ...kukataliwa tu??? Hapana kuna sababu ingine
Wanaume kwanza hatutongozi mara mbili mbili n moja tu ila vivulana ndo hv unaweza ukakuta vnashinda hadi kwa mwanamke kila siku kufukuziaMbona hili neno la mwanaume mnalitumia vibaya. Wanaume hawapo hvyo huyo tunamuita MVULANA
hakuna sababu nyingine... the thing is that mm huwa sina tabia ya kununa I always smile, hata kama nimechukia huwez kujua.. sababu ni kwmba nilikua namjibu siko tyr kuwa nae with a smile so yy akaona lbda namzungusha zungusha tuu ntakubal...Hahaaaaa wanaume tunaposemaga kuwa nilikuw nakutania huwa tunakera sana...halafu hapo patakuwa na sbabu nyingine ambayo imechangia mtoa mada kutukanwa ijpokuwa sio kama namttea mtukanaji hapana but patakuwa na sbabu tu maana wanaume wanaotukanga wanawake waliowakataa niwale vijana vijana nasio watu wazima na akili zao ..labda mtoa mada atuambie kuwa huyo mwanaume ni type yakina 20percent ..
haiwezkani mtu akutukane tu kisa umemkataa kuna alichomfanyia zaidi ya hiki alichotueleza ..mtoa mada awe muwazi
Namba ya simu aliipataje???hakuna sababu nyingine... the thing is that mm huwa sina tabia ya kununa I always smile, hata kama nimechukia huwez kujua.. sababu ni kwmba nilikua namjibu siko tyr kuwa nae with a smile so yy akaona lbda namzungusha zungusha tuu ntakubal...
sasa kagundua kua sina mpango nae ndo kaamua kunishushia matusi