Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,050
- 27,455
Sasa ungariba unaufanya sa ngapi.?Hakuna kitu ninachopenda kufanya kama kukaa na manzi wangu.
Sasa ungariba unaufanya sa ngapi.?Hakuna kitu ninachopenda kufanya kama kukaa na manzi wangu.
Sasa ungariba unaufanya sa ngapi.?
Daah yani wewe nimekupenda bure.. Good girl. Sasa kuna wengine hawataki hayo yani muda wote mpo pamoja tu si ndio mwanzo wa kuchokana mapema huo. Yani kunakua hakuna kipya ndani miezi 9-12sijaingia kwenye ndoa ila nahisi sio vixuri mwanaume kubaki nyumbani mda wore. maana nawaza akitoka ndo mda sahii wa kufanya usafi, kubadirisa mwonekano wa nyumba hili akirudi akute utofauti
pili akitokq hata masaa 2 wakati unwpika ni mda mzuri kum miss -
huo ni ujinga wake binafsi na kama mke anafanya hivo basi ana elimu ndogo
Kuna watu ambao anataka akioa au kuolewa aendelee na maisha yake ya vijiweni kama alivyokuwa hajaoa au kuolewa..Sasa mtu asipogandana na mke wake,unataka akae na nani?
Sasa ungariba unaufanya sa ngapi.?
Sasa huo muda si ndio uko na manzi yako.? Au mnashirikiana.?09:00 am - 03:00pm
Sasa huo muda si ndio uko na manzi yako.? Au mnashirikiana.?
Huyu jamaa kumbe ni mwanaume[emoji1495]
Mkuu mumeo kabla hajakuoa alikua na marafikii na pengine wao ndio walifanikisha shughuli yenu.? Kwa nini awatupe.?hapana bwana ukitoka kazin rudi kwako fanya vishughuli vya hapa na pale jaman !khaaa we kila siku unarudi saa 5 usk jaman mnakera sana !
Mkuu mumeo kabla hajakuoa alikua na marafikii na pengine wao ndio walifanikisha shughuli yenu.? Kwa nini awatupe.?
Kulingana na ID yake na chat zake ni MEHuyu jamaa kumbe ni mwanaume[emoji1495]
Sasa wewe usimshauri awatupe.mbona mie namenifanya niwatupe
Lough Out Loud
Sista mkizoeana sana na mpenz wako mnachokana na mapenz kupungua hv we kwa experience yako ya mapenz huoni utofauti kwa habby wako mkiachana km cku 2 hv bila kuonanaWacha kumfundisha mwenzio tabia mbaya. Ndio maisha aliyoyachagua na sidhani kama yana madhara kwake.
Cha kuongeza sometimes mwanaume kutoka toka kla saa nyumban inatokana na mazingira ya nyumba unakuta wanawake wengine wachafu ukifika kwenye mlango wa chuman tu unakaribishwa na harufu mbaya we unadhan ni nn kitatokea zaid ya kubadilisha nguo na kutoka au mwengine unakuta kajaza mashoga kibao ni mwendo wa vicheko tuMwanaume asiye penda kutoka lazima atakuwa na hobby yake, wengine wanapenda video/computer games, kusoma vitabu, kuangalia mpira nk. Si kuwa kila saa wanaongea na wake zao.
Mwanamke jukumu lake ni kuweka mazingira ya nyumbani yawe masafi na yaliyotulia. Wanaume wengine wana kuwa kwenye utaratibu huu hata kuanza kuaga anatoka mkewe anashangaa.
Sasa kaka kama mtu ndio kajiamulia hataki ubongo wake upate vitu vipya utafanyaje zaidi ya kumuacha aendelee na kile alichokiamua.Sista mkizoeana sana na mpenz wako mnachokana na mapenz kupungua hv we kwa experience yako ya mapenz huoni utofauti kwa habby wako mkiachana km cku 2 hv bila kuonana