Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Aache kufanya kazi za kihausiboy aje aonane na wewe Mkuu watu wengine usiwaone wajanja nje huko home wanatumikishwa na wake zao
Bila shuruti nmekubali japo ngoja niongeze na akili zanguMwanaume mashine hawezi pata kila kitu kwa mkewe.
Usione watu wanapack magari na kujumuika kwenye vijiwe vya bao,draft,bar au kahawa ukadhani wajinga.
Hili ni suala LA kisaikolojia na afya ya akili
Huyo lofa atakuwa bavicha
hayo ndio maisha amejichagulia na anaona sahihi kwake, kila mtu ana misingi anayojiwekea mkuu
Mwanaume asiye penda kutoka lazima atakuwa na hobby yake, wengine wanapenda video/computer games, kusoma vitabu, kuangalia mpira nk. Si kuwa kila saa wanaongea na wake zao.
Mwanamke jukumu lake ni kuweka mazingira ya nyumbani yawe masafi na yaliyotulia. Wanaume wengine wana kuwa kwenye utaratibu huu hata kuanza kuaga anatoka mkewe anashangaa.
mkuu mm ni mwanamke, siwezi kukaa na mume wangu ndani masaa 24 kwq siku zote saba atatoka atakutana na friends atarudi home atawajibika na jamii sitak kumuingilia mipaka yake hiyo ni misngi yangu mimi kwa muke wanguElimu haina mwisho, ni vyema akaona the other side ya kuishi. Huwezi ukawa na formula moja tu ya kuishi, mda wote mtakua mna mawazo yanayofanana, la sivyo ni mwendo wa gegedo 24/7
mkuu mm ni mwanamke, siwezi kukaa na mume wangu ndani masaa 24 kwq siku zote saba atatoka atakutana na friends atarudi home atawajibika na jamii sitak kumuingilia mipaka yake hiyo ni misngi yangu mimi kwa muke wangu
huyu asietaka kutoka nae ndio misingi yake na maisha aliyojichagulia mkuu
hahahaha mkuu na mkewe watafanya connections, na kwako piaGood, I'd like to have such a sheila!
Huyo anajihatarisha sana, kuchagua maisha ya kiBernad Bernadi mmh nope. Anapaswa ashauriwe, bongo connection zina matter kuliko hata academic qualifications. Sasa kuchagua kukaa ndani utajiconnect na nani?...siku njema
Huku kwetu Kwamtogole jirani ana ratiba yako yote ya maisha na ndiye anaewasimulia watu kuwa mkeo amekuweka kubindoni hufurukuti. Kumbe masikini mnamalizia kile kibanda chenu Mailimoja ili muachane na kodi na umeamua jua cha kunywa bia ili pesa ziingie kwenye ujenzi.Haya maisha ni mazuri sana kwa sehem ambazo mpango wa maisba unajulikana, sasa kwa Tz mda wowote unatumbuliwa au kuna jamaa wana waza kukuTundu lissu wakuibie kaVitz kako.
Kwa majuu hiyo poa kabisa una ratiba ya kazi, gaming, swimming na kukaa na wife. Bongo hakuna formula, anything can happen anytime ni vzr kua na faculties zaidi ya ile mona tu umezoea..mshauri shemeji ohooo
mkuu mm ni mwanamke, siwezi kukaa na mume wangu ndani masaa 24 kwq siku zote saba atatoka atakutana na friends atarudi home atawajibika na jamii sitak kumuingilia mipaka yake hiyo ni misngi yangu mimi kwa muke wangu
huyu asietaka kutoka nae ndio misingi yake na maisha aliyojichagulia mkuu
....mara nyingi watu wanaokuwa na wake zao kila saa tena home huwa hawanaga ujanja wa kutengeneza hela-kula yao ni shida,kunywa yao hovyo,..etc kila kitu budget wanaishia kufa hawana kitu,Huku kwetu Kwamtogole jirani ana ratiba yako yote ya maisha na ndiye anaewasimulia watu kuwa mkeo amekuweka kubindoni hufurukuti. Kumbe masikini mnamalizia kile kibanda chenu Mailimoja ili muachane na kodi na umeamua jua cha kunywa bia ili pesa ziingie kwenye ujenzi.
Hujawahi pigwa pigwa kitu cha limbwata eeh?Najua kila mmoja ana namna ya kuishi. Pamoja na hayo nimeona vema nikawakumbusha ndugu zangu waliofungwa na vifungo vigumu vya ndoa au uchumba.
Nimeamua kuandika huu uzi nikiamini kwamba rafiki yangu Bernard atapita huku na atajifunza kitu. Juzi tulikuwa kona fulani hivi tukila mbuzi katoliki maeneo ya California, Nyegezi jijini Mwanza huku tulivuta taswira ya mazingira ya Fiesta.
Mshikaji nilimpigia toka alhamisi kwamba nitakuwa Mwanza. Sasa ile jioni mishale ya saa kumi na moja nikampigia. Jamaa akaomba excuse eti hawezi kutoka home maeneo ya Pepsi maana mkewe hatomruhusu maana hajamzoesha kutoka mida hiyo.
Nikasema Fresh kama Fareed Kubanda.
Ile kuendelea na michapo Mara meseji mshikaji anadai sorry mwanangu natamani sana tuonane maana huu mwaka wa tano tangu tuachane chuo. Nikaona huyu siyo mchizi kama Mox, nikabadilisha line kuendeleza stori Tatu tofauti kama J Mo.
Nilichogundua ni kwamba wanaume wengine siyo Mashine kama alivyo Msaga Sumu ila wanaibiwa kama Rayvanny.
Wewe ni wa kuamka na kwenda kazini, ukirudi nyumbani tu.
Hunywi pombe, huchezi bao, huchezi draft, huchezi pool table, si mshabiki wa mpira n.k
Wewe unajitafutia ugonjwa mbaya sana kuliko hata ubaya wa Baba ubaya.
Yaani wewe ukifukuzwa kazi gafla utakufa mapema kama funza maana huna stamina kama za mchwa kwa kuwa unajitenga na wadau.
Suala LA kujumuika ni kikatiba. Hivi kila SAA wewe na mkeo mnaongea nini?
Kutana na kina mhogo mchungu huku kwenye draft upigwe supa au umpige MTU force king wote mcheke akili iwe poa.
Ndiyo maana mnahangaika Mara nguvu kiume zimepungua, zitaachaje kwa mfano?
Isitoshe kinachopungua hapo siyo nguvu za kiume bali AKILI YA KIUME.
Miaka ile ulikuwa machachari, pita huku na kule tazama maua akili inafurahi ukikutana na mpango wa kando saaafi kama Kenya lakini sasa unashinda nyumbani kila SAA kama jiwe la Honge umerogwa?
Hata mwenza wako mpe muda hata kama anakung'ang'aniza kimbia fasta kama Babuu wa Kitaa ila usichelewe sana kurudi walau SAA mbili na nusu au Tatu rudi home.
Akizoea atakufurahia vinginevyo utalazimishwa kuangalia Picha za kihindi ukiaminishwa mwishoni Kali sana lakini Mara zote utaishia pahala steringi anafia kwenye maua kama nyuki wa kwenye mashamba ya Tumbaku kule Kaliua!
Zamani ushauri kama huu nilikuwa nauza 250/= Tzs lakini saizi ni bureeee. Siyo bure kama ya mtandao wa simu kwamba nunua vocha ya 1000 upate dakika 15 za bure mitandao yote msg 500 na mb 10.
Huu ushauri ni bure kweli kweli. Ukiona unakufaa uchukue mapema kama CCM lakini ukiona haukufai upotezee kama Masanja.
Alarmed!