Mwanaume unakaa na mkeo kila saa kama jiwe la honge

Mwanaume unakaa na mkeo kila saa kama jiwe la honge

Jamaa kila mda atakuwa anampiga mke wake kisawa sawa
 
umeona eh !wanajificha kwenye mwamvuli wa kuwananga

Hahahaha really? Kila aina ya tabia ina walakini wake (negative side), ila hii ya kukaa home tu na wife mmmh lazima kuna sector anakua kapungua (ref to ushauri watu wanaomba kucha humu)
 
Hahahaha really? Kila aina ya tabia ina walakini wake (negative side), ila hii ya kukaa home tu na wife mmmh lazima kuna sector anakua kapungua (ref to ushauri watu wanaomba kucha humu)

hapana bwana ukitoka kazin rudi kwako fanya vishughuli vya hapa na pale jaman !khaaa we kila siku unarudi saa 5 usk jaman mnakera sana !
 
Anakua hivyo halafu kibamia[emoji3][emoji3][emoji3]

alafu we jerry !mnawaumiza vibamia mjue !mie siamini kbs kwenye vibamia!yaan hunibadilishi mind yangu ! teh teh !sio wote tunapenda michi yenu mikubwaaaa pyee
 
alafu we jerry !mnawaumiza vibamia mjue !mie siamini kbs kwenye vibamia!yaan hunibadilishi mind yangu ! teh teh !sio wote tunapenda michi yenu mikubwaaaa pyee

Mbiti ntakutafta inbobo badae; sa mwanaume utakaaje na wife mda wote. Mpira haumo, mieleka hujui kitu, cdm vs ccm ndio hutakagi kujua kabisa, Diamond kugegeda Hamisa yani ni giza totoro, kujua bisness gani inabamba town unasema we uko bz na ualimu, duh basi ujue hata Rocket man wa N Korea....
mwanaume wa hivyo ni bure kabisa.
 
mie kama ananipenda na kuitunza familia sina shida naye kuna mianume jaman;

mpira anakuaga anaenda kuchek premier league ,Saa3 usk anasikilzia mpira clouds radio nahuku wewe hapo upo spice chanel unachek fashions (mxiew),
akitoka hapo anaweka hao wa kurushiana mangumi
akimaliza hapo unamkuta anacheka basketball sijui mnaita NBA,akitaka kwenda kulala sasa anaweka karate sijui kungfu

hivi wewe kwann usichkue tu form bas ukawa baraza la michezo mie nachafukwaaaaa

kubet unalikua limejipinda linabeT! CHEFUU!

njoo tu kaka nipo !
 
Mwanaume wala sio tatizo..
Nikutaftie ule, uvae, ujipake mafuta mazuri, body sprays & deodorants nzuri utumie, ulale vizuri etc etc utabaki kufikiria nini?

hehehh uwii mnaongea hyo ova mnafanya kweli kwa wake zenyu
 
Back
Top Bottom