Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

Yan mgombane nyie afu azile kunyonyesha hapana kwakweli mkuu uyo ni mzazi wa kike Ila sio mama....

am better here
 
Kibiriti kimesha tikiswa na kimetikisika,hapo pana kazi,jiandaye kwa yajayo,ikiwa ni pamoja na kuchambua mchele,kufua nguo za mtoto,kuosha vyombo n.k....

Yupo mdada wa kazi.

Japo sipati shida kufanya hayo kwa Familia yangu.

Tatizo ni pale mnapogombana kidogo Halafu upande wa pili una behave as if I have done nothing at all. As if sina umuhimu wowote.

Na hapo hapo ananijaribu kupitia mwanangu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom