Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

Mm wife nilimpa vitasa, nikamtoa sebuleni baadae nikafikiria dogo akiamka sijui itakuaje! Nikamfata nikamwambia"Nakupa dakika tano uwe umeshalala kitandani" akaenda chumbani faster.

Huyo wa kususia kunyonyesha angekuwa wa kwangu sijui ingekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nampa pole mwanamke mwenzangu mke wako mpende heshima inakuja automaticaly lakini ukijifanya mbabe anakudharau sana kimoyomoyo
 
Kamangempa maji, ningempa kwa Muda gani? Eventually mtoto alitakiwa kunyonya.
Unaenda kununua maziwa ya formula ya watoto unampa.
Mwanzo unampa maji yaliyo chemshwa kabla ya kupata maziwa ya formula.
Unamfukuza huyo kichaa.

Kisha huyo mama katili unaenda kumshitaki ustawi upewe haki ya kulea mtoto ushahidi kamfanyia mtoto ukatili wa kumnyima chakula.
Tena unasema alikusudia auwe mtoto kwa njaa.

Ujue huyo mkeo ni kichaa kabisa anaweza kuuwa mtoto kisa ugomvi wenu wazazi.
 
Mm wife nilimpa vitasa, nikamtoa sebuleni baadae nikafikiria dogo akiamka sijui itakuaje! Nikamfata nikamwambia"Nakupa dakika tano uwe umeshalala kitandani" akaenda chumbani faster.

Huyo wa kususia kunyonyesha angekuwa wa kwangu sijui ingekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! watu mnaonekana mna vitasa vizito[emoji23][emoji23][emoji3]
 
ContinousImprovement,
Wewe ni popopo kabisa mwanaume uliye kwa vile mtoto analia., nguruwe pori kabisa, ulitakiwa uwe mwanamke au una vinasaba vya kike.
 
Tumegombana sisi, kaamka kwa hasira, alikuwa ananyonyesha mtoto nikamwambia niachie mtoto. Sasa mtihani mtoto analia anataka kunyonya. Bado kidogo na mimi nilie sikujua nifanyeje? Nikawaza nimpe maji nichanganye na Glucose? Hapana. Ikabidi nirudi kwa wife nikambembeleza anisamehe. Aamke ampe mtoto nyonyo.

Mtoto alikuwa analia sana. Nusura na mimi nilie. Sikutaka kuonyesha kwamba I can handle the kid bila yeye kwa kumpa chakula au kumuandalia kitu kwa kisingizio cha mimi kulala kuonyesha kwake kuwa namjali mtoto.

Wake zetu wana mbinu nyingi za kutikisa kibiriti. Ila nimewaza, wanaume tuna msaada gani kwenye Familia? Au ni kuleta hela tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio huna msaada, tena sio tuu, msaada hata akiri unaonekana huna!
 
Tumegombana sisi, kaamka kwa hasira, alikuwa ananyonyesha mtoto nikamwambia niachie mtoto. Sasa mtihani mtoto analia anataka kunyonya. Bado kidogo na mimi nilie sikujua nifanyeje? Nikawaza nimpe maji nichanganye na Glucose? Hapana. Ikabidi nirudi kwa wife nikambembeleza anisamehe. Aamke ampe mtoto nyonyo.

Mtoto alikuwa analia sana. Nusura na mimi nilie. Sikutaka kuonyesha kwamba I can handle the kid bila yeye kwa kumpa chakula au kumuandalia kitu kwa kisingizio cha mimi kulala kuonyesha kwake kuwa namjali mtoto.

Wake zetu wana mbinu nyingi za kutikisa kibiriti. Ila nimewaza, wanaume tuna msaada gani kwenye Familia? Au ni kuleta hela tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

kuna ulakini kama wewe unaweza kuwa baharia...
 
Bado hujakua,na kwa staili hiyo mkeo atakunyanyasa Sana,naamini hata akisafiri wewe huwezi pika Wala kufanya chochote,hao ni viumbe tu,kwani bila ya wao huwezi kuishi? Au bila ya wewe hao hawawezi kuishi?
Kama kungekuwa na chama Cha wanaume ningefanya mpango usimamishwe uanachama mpaka uanachama mpaka utakaojitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom