Mwanaume ni yupi hapa??

Mwanaume ni yupi hapa??

Kitu kama hizo huwa napata ukichaa flani mkichwa nimewahi ifuata moja Nairobi tukaenda Mombasa dah we acha tu mpwa.

Mpwa naona hiyo cheni apo kiuononi imekuzingua pia lol....."mnazi haunyunyiziwi dawa" lakini
 
Hahaha haswaa hapa mzuka umepanda na baridi hili dah kweli "mnazi haunyunyuziwi dawa"
 
Kweli umenikumbusha Milima ya kwetu

Japokuwa ninakaribia kufika nyumbanie eeh
Natamani gari isifike upesi
Kwa ile aibu
Nitakayoipata mbele ya wazazi iii
Sasa ni miezi michache imepita Tangu nitoke na bibi yangu eeh

Nikitazama milima ya kwetu eeh
Machozi yanitoka kwa uchungu na mawazo
Tulitoka wawili ninarudi peke yangu
Ndugu na jamaa wataniuliza bibi yako yuko wapi

Walisema
Dalili ya mvua ni mawingu
Niliyempenda kanitoroka

Vituko vya bibi huyo
Alikuwa kama elikopta
Ndege isiyochagua mahali pa kutua eeh
Kila mtaa hapa mjini tazameni
Hana bwana mmoja au wawili masikini
Nifanye nini

milima ya kwetu na Edd Shegy
 
Nina mfano wa kaka tulisoma nae. Kaka alikuwa hajatulia kabisaaa. Alikuwa na wasichana wawili ambao kila mtu alikuwa anajua kuwa anawapanga. Mmoja anatoka a very decent family na in fact familia zao ni marafiki. the other lady ambaye alikuwa mzuri sana hakuwa chaguo la wazazi na sidhani hata kama wazazi walikuwa wanajua kama ana exist; walimjua huyo family friend.

Mwisho wa siku kaka kaoa yule dada mzuri ila kitabia ni bad news. Yeye anachanganya ma prof; wanafunzi wote twende.

Jamii ilichosema ni kuwa its better amemuoa malaya mwenzie; maana kaka hajatulia hata kidogo. Tulidhani kwa kuwa wanafanana tabia ndoa yao itadumu; kuliko kuoa dada yule mpole.

Lakini ninavyoandika hivi ndoa imeshavunjika long time; hawakukaa hata miaka mitano.

Yule dada aloachwa kwenye mataa ana ndoa yake safi na mume mtulivu.

Nadhani huyu kaka angemuoa yule dada wangevumiliana kwani dada alikuwa bonge la mtulivu.

Huyo alomuoa nasikia alikuwa anaendekeza ligi ndani; bwana akirudi saa sita usiku yeye kesho yake anarudi saa saba.
Kutwa kwenye mabaa na mabosi wake
 
Wanaume si kuwa wanawapenda vimada naomba ni ku correct; wanapenda wake zao huko nje wanapenda sex. Kama wangekuwa wanawapenda vimada wasingekuwa wanawabadili kama nguo!

Nyumba Kubwa unanifanya turudi kwenye swali..kupenda ndo kukoje????
chukulia mfano wa Asha Dii wa wanaokimbilia kuoa walimu wakiamini
they make 'better wives' halafu wanakuwa na vimada wanaowasuuza roho zao....
wote sio 'wanaume' ???????
 
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....

baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...

na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima

kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....

sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....

1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....

2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'

sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????

yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa

ingawa jamii inafurahia....?????????

mwanaume ni yule anayeoa mke anayempenda, na akahakikisha kamtuliza hata kama alikuwa kicheche, hajasoma akamsomesha, na wakajenga wote familia imara na bora; ni yule anayejali future na kuchukulia past kama challenge ya maisha, na kujifunza kutokana na makosa yake na ya mwenzie.
 
Na atajuaje kuwa ana power ya kumbadili mtu tabia? Na atajuaje kuwa huyo mwanamke ana potentials za kuwa Changed?? What if tabia itagoma kubadilika? Avunje ndoa ya kanisani?

Mimi nadhani falling in love isiwe kama falling from a tree. Lazima mwanaume ajiwekee vigezo anavyohitaji toka kwa mwenza.

mwanaume ni yule anayeoa mke anayempenda, na akahakikisha kamtuliza hata kama alikuwa kicheche, hajasoma akamsomesha, na wakajenga wote familia imara na bora; ni yule anayejali future na kuchukulia past kama challenge ya maisha, na kujifunza kutokana na makosa yake na ya mwenzie.
 
Na atajuaje kuwa ana power ya kumbadili mtu tabia? Na atajuaje kuwa huyo mwanamke ana potentials za kuwa Changed?? What if tabia itagoma kubadilika? Avunje ndoa ya kanisani?

over ambitious?

Seeing is believing, believing in trusting, trusting is loving. Kama ipo ipo tu.

Mwanaume ni yule anayeoa ampendaye, sio anayependwa na watu.
 
Hii ni kwa wale wanao believe in love at first sight. Otherwise kabla hujapenda unategemewa kufanya homework.
Kuoa mwanamke anayekubalika haina maana kuwa huna mapenzi nae. But wewe ni kidume kwani umeweza kubalance kwa kuwa na love of your life ambaye kila amuonae anakupa tano.

Hapo kwenye bold ume make it sound as if wanaooa wanaopendwa na watu wao wenyewe wanakuwa hawajapenda (kind of trade off) which I totally disagree.

over ambitious?

Seeing is believing, believing in trusting, trusting is loving. Kama ipo ipo tu.

Mwanaume ni yule anayeoa ampendaye, sio anayependwa na watu.
 
mwanaume ni yule anayeoa mke anayempenda, na akahakikisha kamtuliza hata kama alikuwa kicheche, hajasoma akamsomesha, na wakajenga wote familia imara na bora; ni yule anayejali future na kuchukulia past kama challenge ya maisha, na kujifunza kutokana na makosa yake na ya mwenzie.

Freema usijidanganye...ni mambo ya kubahatisha kumbadilisha mtu tabia...vinginevo uingie rohoni kweli...umtulize kicheche au ajikaushe tu kwa muda akisoma ramani...wengi wamejidanganya kuwatuliza vicheche bila kujua kuwa wako advanced ktk cheating na hivyo kuendelea kumfuga nyoka ndani...
 
Wanaume si kuwa wanawapenda vimada naomba ni ku correct; wanapenda wake zao huko nje wanapenda sex. Kama wangekuwa wanawapenda vimada wasingekuwa wanawabadili kama nguo!

Nyumba kubwa hapa unaanza mjadala upya....
pointi ilikuwa hivi,kama wamefanya the right choice why wabadilishe vimada?
kubadilisha vimada sometimes ni sababu ya kutoridhika home?????
 
Siyo kuridhika au wrong choice hulka ya mwanaume ni cheater ingawa nakubali si wote. Wale wasiocheat wana fight kweli kweli hiyo nature.

Kwa hiyo regardless umeoa love of your life or not haina uhusiano wa decision ya ku cheat. Maisha ya ndoa kwa wanaume wengi yanawafanya watamani kuonja nje; ila si kutafuta love bali ni different taste ya sex. Ambayo though watu husema nyama ni ile ile bado wengi wanapenda kuonja nje (labda udadisi).

Na hapo kwenye bold naona na wewe umekubali. Kutoridhika home na nini? Mapenzi au sex??? Sex; ndio maana wengine (wajanja) wanaamua kupiga tu kwa sex workers kwani hawahitaji strings since they already have love of their lives.

ni kama una suggest better a sex worker kuliko kimada...are you?????/lol
 
Kama kungekuwa hakuna maradhi; I would be less angry if my hubby ata fool around na sex worker kuliko co-worker.

Tatizo la the so called vimada wanaganda
ni kama una suggest better a sex worker kuliko kimada...are you?????/lol
 
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....

baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...

na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima

kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....

sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....

1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....

2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'

sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????

yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa

ingawa jamii inafurahia....?????????

Mkuu, The Boss....kama alivyosema Steve Jobs, don't afraid to follow your heart. Ukifanya hivyo na ukiridhika vitu vingine ni secondary
 
Kama kungekuwa hakuna maradhi; I would be less angry if my hubby ata fool around na sex worker kuliko co-worker.

Tatizo la the so called vimada wanaganda

ha haaaaaa i know your type.......wewe ni wale wanawake ambao akimfumania mume na mwanamke mzuri kuliko
una fight na ndoa yako,but ukikuta yuko na msichana mbovu....'mume atajuta' lol
 
Back
Top Bottom