The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,612
- Thread starter
- #121
Rite rite...tukizungumzia ujasiri....nini maana hasa ya ujasiri....ni kufanya jambo ambalo WENGI wageshindwa kulifanya katika hali ya kawaida, ni uwezo, katika huu muktadha, wa kufanya maamuzi ambayo wewe unaamini kama ni sahihi hata kama yataenda kinyume na matarajio ya wengi
kwa hiyo basi, huyo anayeonekana kwamba 'ameoa malaya' ni jasiri zaidi kwa sababu ame-defy expectations za jamii inayomzunguka AKIAMINI kuwa muoaji ni yeye, atakayeishi naye ni yeye
Itakuwa hatari kama tukisema what would happen next (mfano kama huyo 'malaya' atabadilika nk) kwa sababu hata ujasiri nao unaweza kubadilika with time. kwa faidi ya mjada huu nadhani ingekuwa vema kuishia kwenye kitendo cha kuoa/kuolewa
ha haaa interesting....ujasiri wa kiume na ujasiri mradi ni ujasiri ni vitu viwili tofauti...
mfano mtu anaweza kuchukua ujasiri wa kujinyonga,still ni jasiri but watu wanaweza kumuona mpumbavu
pamoja na 'ujasiri' wa kujitoa roho....
na mwingine ambae mimi huita 'ujasiri wa kiume'...ni mfano umempenda mno mwanamke kupita maelezo...
lakini mwanamke huyo kuna price kubwa ya kuwa nae...ukaamua tu kukubali kumkosa na kuendelea na maisha
na maumivu ya kumkosa.....hapo tutaita 'ujasiri wa kiume' hasa ikiwa ulikuwa na power ya kufanya 'faulo 'umpate...
mfano wewe ni mwalimu mkuu na binti ni mwanafunzi...lol
au mkuu wa idara,binti ni trainee but ana mchumba...e.t.c....