AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
Hivi tunapozungumzia mwanamke malaya ni yule anayetembea na wanaume wengi kwa pamoja bila mpangilio yaani kawapanga foleni,, au yule anayekuwa na wapenzi wengi lakini anakuwa na huyu kwa miezi anamchoka anakuwa na mwingine tena na tena na huyu wa pili naye ni malaya? unajua nimemwazia jenipher Lopez, anabadili sana na bado wanaume wako proud kuwa naye, au umalaya wa mtu unategemea na stutus yake?
Nikirudi kwa The boss, mi nadhani ukiamua kumuoa mwanamke oa unayempenda kwa dhati haijalishi kama alikuwa malaya au vipi, maadam kakubali kutulia na wewe kwa nia moja ya kujenga famili, kwangu mimi kidume kati ya wale wawili ni yule aliyeoa mwanamke anaempenda ila alikuwa malaya sababu yaliyopita si ndwele, tushaona watu wanaolewa mabikira badae wanakuja kuwa malaya wa kutupwa, bora huyo aliyefanya kabla ya pingu
Shantel huo mdadala ni mgumu saana Mpenzi... Hua tu unanishinda maana kumuita mwanamke mwenzio malaya..... Dah!