The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,875
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....
baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...
na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima
kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....
sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....
1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....
2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'
sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????
yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa
ingawa jamii inafurahia....?????????