Mwanaume na nguo za kubana.

Mwanaume na nguo za kubana.

Sasa mbona ATOWN jinsi ya blue iliyopauka na kubana halafu koti kuuubwa na boshori ni vazi la masela?!
 
wadau,
napenda kuuliza swali maana naamini hapa jf ni darasa fulani.
Swali nauliza: Mwanaume anapovaa nguo za kubana inaashiria nini?

h7.jpg

hacheni majungu kuna mashoga kibao wanapiga suite
ni fashion tu sema mashoga wamo pia
 
huyu Herry ni mshoga na ameshamuweka mume wake hadharani.....Tanzania imeendelea hahahhahhaah!
 
jamani naombeni majina ya hao wadada hapo tafadhali

mwenye kuyajua majina ya wadawa hao yamwage hapa please
 
mi sina tatizo sana na hizo nguo, tatizo langu lipo kwa hao wakina dada, yaani wameshikwa sehemu zao za nyuma na huyo mwenye kuvaa vya kubana na wametulia tu as if wameshikwa na mwenzao

kaka huyo hana madhara ni nyuki wa mashineni tuu.
 
Halafu huyo jamaa mbona anafanana kwa sana na huyo binti wa kushoto? Kama dada yake vile!!?.....lakn mbona kamshika mat*ko?mh..mh, hizi fasheni na mapozi ya siku hizi mnaziweza nyie vijana tu! gayish!
 
Dah! We umezaliwa mwaka gani!? Hijui kuwa hizi ni fasheni tu, huja na kupita, sasa ungeshuhudia enzi ya kuvaa tinabuu (dingrizi za kubana) na mashati yale ya kubana (mashati ya kunguru) ungesema nini?

Nawashaa sana jamani mwenzenu kasimamia kucha mnasema eti shoga.
what?
guyz don't be lunatics.
Mbona hapa offisini karibu ya staff nzima kwa upande wa men wamevaa za kubana?
You know what dress to prove to the people that you are handsome and awesome.
 
Huyu jamaa ni shoga maarufu mjini nilikutana nae mitaa ya arabela wala huulizi mara mbili mnaomtetea fasheni mnakosea si riziki huyo
 
Huyu jamaa ni shoga maarufu mjini nilikutana nae mitaa ya arabela wala huulizi mara mbili mnaomtetea fasheni mnakosea si riziki huyo
Hatumtetei huyu jamaa in personal tunatetea mavazi ya mwanaume na nguo za kubana.
 
Huyu Henry ni shoga per se! Nilimshuhudia live pale Nyumbani Lounge jinsi alivyokuwa anarembua na kukata mauno baada ya kukolea ulabu!
 
Huyu Henry ni shoga per se! Nilimshuhudia live pale Nyumbani Lounge jinsi alivyokuwa anarembua na kukata mauno baada ya kukolea ulabu!
Sawa tuachane na huyu jamaa...then tuzungumzie mwanaume na nguo za kubana...coz this is the subject of this tread.
 
ila mi napenda sana mwanaume akivaa nguo za kubana,mnapendeza sana kiukweli ila ujiangalie na mwili wako
SHOSTI; kwa hiyo through hii picha angekuwa amevaa mtu ka kanumba hawa jamaa wangesemaje?
 
pozi lake huyo linatia utata zaidi. hako kahereni...shingo kaipinda, inaonekana kapaka poda.... miguu yake alivoiweka si kiuanaume kabsaaaaa. hizi fashine mmmmh. sasa mwanaume anavaa ya kumbana ili aonyeshe nini na amwonyeshe nani hasa...

mh napita tu...
 
Back
Top Bottom