Mwanaume na nguo za kubana.

SHOSTI; kwa hiyo through hii picha angekuwa amevaa mtu ka kanumba hawa jamaa wangesemaje?
Kanumba mbali mkuu,kupitia hiyo picha tuweke upuuzi wa ushoga wa herry pembeni,muangalie alivyopendeza wakubali wasikula
 
Huyu Henry ni shoga per se! Nilimshuhudia live pale Nyumbani Lounge jinsi alivyokuwa anarembua na kukata mauno baada ya kukolea ulabu!

duh kumbe hizi totoz zipo bongo?wacha nikazane kupiga box ili nizichange vizuri.Lazima nije bongo kabla ya december hata kama mtakuwa bado hamjaleta uraia wa nchi mbili!
 
jamani huyu jamaa nadhani huwa ni shoga

kampani zake huwa ni wadada pozi zake za kidada ..kwenye taarab yupo,picha za kparty yupo...
 
38785_1478651919242_1022082755_1422985_5169110_n.jpg



Style my foot!

Huyu ni auntie Herry Nasser.......RICE IN DA PLATE
 
Hii nimeipenda,mtuma thread kutumia nguo za kubana kumbe unatufahamisha kwamba twaweza pata huduma kwa mshkaji,kweli huu ukumbi wa Great thinkers.Asante mkuu kwa information
 
Dah mkuu mie naomba tu uniambie hii ni mitaa gani kama ni hapa bongo Darisalaam maana mhmh hizi totoz zote 2 / namaanisha KE wamenifanya niwe hoi sana kwa mihemko! Plse niambie mkuu ili niingie hiyo mitaa kupata totoz for the needful

hapo ni rozana .....buguruni. hahaaaa ukienda mi simo.
 
hacheni majungu kuna mashoga kibao wanapiga suite
ni fashion tu sema mashoga wamo pia

Nimetanguliza kwa kuuliza swali na wala si majungu, take your pills and chill out.........sometime ukweli nao unauma.
 
Mkuu baeleze bakusikie.

Jamani tusiwe wepesi kujudge vitu visivyo. Kama una wadogo zako wa kiume aged between 16-26 hivi unaweza elewa. Ni style wanayopendelea sasa hivi, wao wanaita tight jeans. So let them be. Zikiwachosha watavaa suti na suruali pana kama shuka za mashine za kusaga.

Labda inaweza kuwa style, lakini kwa huyu jamaa kwenye hiyo picha, mmmhhhh!!! mimi ananitia shaka-niliiona hii picha sehemu nyingine kabla ya hapa nilijiuliza swali hilo hilo!
 
Nawashaa sana jamani mwenzenu kasimamia kucha mnasema eti shoga.
what?
guyz don't be lunatics.
Mbona hapa offisini karibu ya staff nzima kwa upande wa men wamevaa za kubana?
You know what dress to prove to the people that you are handsome and awesome.

Labda nao ni mashoga!!!
 
Dah! We umezaliwa mwaka gani!? Hijui kuwa hizi ni fasheni tu, huja na kupita, sasa ungeshuhudia enzi ya kuvaa tinabuu (dingrizi za kubana) na mashati yale ya kubana (mashati ya kunguru) ungesema nini?
acha upuuzi wako. kila jambo la kipumbavu wewe unaona ni fasheni, haya tembea uchi basi maana nayo ni fasheni.
 
Back
Top Bottom