mwanaume na G-string

hehehehe me mbona nishaipata hiyo picha?yani kama kina john cena hivi au randy orton.
RKO? Ile anayoivaa mbuna bukta,hizi nilizoziona ni hatari tupu,yaani ta ko moja huku jingine kule,halafu katikati ndio unapita ule uzi,yaani ni bonge la soo. Nalog off
 
Kwani G-string ina tofauti gani na chupi ya kawaida?
Au mnaangalia makalio na kuyatamani?.... ukiona mwanaume mwenzio anakubother na mavazi yake, ujue wewe ni njugu.
Tofauti ipo,jitahidi kuzitafuta utaziona tofauti hizo. Nalog off
 
Tofauti ipo,jitahidi kuzitafuta utaziona tofauti hizo. Nalog off
Kama ukiona mataako ya mwanaume mwenzio na ukayatamani, ujue wewe ni njugu!!
Kwani ukiona pua au mdomo wa dume mwenzio huwa unajisikia vibaya?
 
Kama ukiona mataako ya mwanaume mwenzio na ukayatamani, ujue wewe ni njugu!!
Kwani ukiona pua au mdomo wa dume mwenzio huwa unajisikia vibaya?
Suala sio kumtamani mwanaume mwenzio,suala linalozungumziwa hapa ni, inakuwaje dume zima livae G-string na litambee nayo bila suruali mbele ya kadamnasi? Nalog off
 
wakuu habari za jumapili,leo baada ya kupigwa na joto nikaamua ngoja niende beach nikapunge upepo,huwezi amini nafika beach nikayaona madume mawili yamevaa G-string,hivi hawa wanaovaa hii kitu ni ndugu wa Cameron au hakuna ubaya wowote kwa dume kuvaa G-string? Nalog off

hivi nazjaz ni nduguyo? Mbona mna vituko sana nyie?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom