Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,586
- 50,683
NdioWivu.....???
NdioWivu.....???
Mh ameanza mapenzi ukubwani? Uhusiano wenu una muda gani?Hanipigi ila ananuna mno
Hataki hata niwe nawasiliana na wateja wangu especially wakiume hata mchana yani
Sio mapenzi?Ndio
Jibu ni lile lile Chief hata tukirudi hukoTwende makutano tuyalalize aisei..!
Boxing day hii. Mualike mwenzako nyumbaniMaskini hukatagi tamaa loh...sa itakuwaje
Yes nayaweza katika yeye anitiaye nguvu (sasa hapo kwenye kutiwa nguvu sasa)
Yote kwa pamoja.anikulaye,anitiaye nguvu na mengineyo...yote kwa yote ndie ajuayeAkutiaye nguvu au 'akutiaye kwa nguvu? Kulingana na mada mezani, the late sounds superb!
Mlete nyumbani basi ChiefBoxing day hii. Mualike mwenzako nyumbani
Yote kwa pamojaSio mapenzi?
Mimi nilisikia sehemu wakisema so sikuwa na uhakika
Au ndo mimi nini??Nipo na mwanamke leo kama mwezi ila hajawahi kuniomba hata mia, nafikiria kwenda kwa mganga aisee!
Kumbe mnajua ila mnajifanyaga manunda sio😘😘😘
Tuache utani na masihara pembeni.
Mwanaume ukimheshimu,vitu vingi tutafaidi kutoka kwao
Au ndo mimi nini??
Mwanaume ni lazima aheshimiwe aise hiyo haipingiki.Kumbe mnajua ila mnajifanyaga manunda sio
Sikumbuki hata mara ya mwisho kuwa Kwenye mahusiano ni lini.Kama una mwezi kwenye penzi jipya huenda, yaani siamini kama huyu ni mwanamke!