Mwanaume mwenye wivu unaishi nae vipi?

Ni kweli kabisa. Ukimheshimu Mwanamume Ni kwa faida yako wewe Mwanamke. Tupunguze ujuaji.... !!! Mapenzi Matamu Jamani. Kupendwa Rahaaaaaa๐Ÿ˜„ Napendwa Mieeee๐Ÿ˜‚
Eeh ukitulizana unakula mema ya nchi ila ukijifanya joyce kiria utapokea kichapo tu cha kibaharia.
 
Hawa watu uwaga hawajui sa nyingine wivu wetu una maana kwamba wao ndo wana mawenge yaani unamuangalia mtu unaona kbs huyu akikutana na mtongozaji mzuri sijuiiiiiii

Sasa unakuwa km unalinda flani na hii inatokea ukiwa hutaki kumpoteza

Wao wanabakia punguza wivu wakati sisi tushampima tunaona hapa bora niwe na wivu tu
Wivu ni dalili ya kupenda kwa hakika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukiona huna wivu kwa mwanamke wako jua hujapenda
 
Ni kweli kabisa. Ukimheshimu Mwanamume Ni kwa faida yako wewe Mwanamke. Tupunguze ujuaji.... !!! Mapenzi Matamu Jamani. Kupendwa Rahaaaaaa๐Ÿ˜„ Napendwa Mieeee๐Ÿ˜‚
Kinachotugharimu siku hizi wanawake tuliowengi tu nataka haki sawa na wanaume kitu ambacho haiwezekani..

Kuleta ujuaji mwingi na kutaka kushindana na wanaume ndipo upotevu wa adabu huibuka.hatutaki kukaa kwenye nafasi zetu๐Ÿ™๐Ÿ™

Huu utandawazi umekuja na mambo mabovu sana.wanaume tutaendeleakuwaheshimu ili kupata furaha na amani ya moyoni.

Hazibandi tubii we njoo tu kazi yangu ni kukutii na kukuheshimu hakuna namna.najua kwenye kukutii na kukuheshimu ndani yake inakuja na ya kutolea๐Ÿ˜Ž๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚
 
Kanuni ni ile ile...Ukitaka kula sharti ukubali kuliwa! Sasa we unataka kula bila kuliwa? Haiwezekani!~ J. Kikwete

Translation:
Ukitaka hela lazma ukubali kuchakatwa kwanza. Huwezi kula hela ya mtu bure bure.

Kuhusu biashara ndipo hali ilipofikia sasa. Wanawake wengi wanatuuzia mapenzi kama machangu tu tofauti ni kwamba mfumo wao sio wa kujipanga barabarani.
Wewe ni kisanga basta sikutaki ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Ila unaonekana wewe ni yule Leta miyeyusho nikuzibue๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜mwandiko wako unasema hivyo
 
Wewe ni kisanga basta sikutaki ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Ila unaonekana wewe ni yule Leta miyeyusho nikuzibue๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜mwandiko wako unasema hivyo
Hamna bana lips denda ๐Ÿ˜ mi napenda mwanamke anayejielewa yeye ni mwanamke kiakili na kimwili.

Nikipenda nakuwa full charge, sipendelei mwanamke kidomo domo au mjuaji mjuaji. Mwanamke awe tender and loving na mtu wa kunikirimu vyema na kunipa nafasi ya ku exercise character za kiume.
 
Kumbe ndivyo ulivyo basta..Ohoo hakyanani tena nakuja kukudanga๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kumbe shida ni kukuheshimu Na kukutii...
28790B4C-CECA-4AFC-A5EA-3024547E5999.jpeg
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Karibu
Kumbe ndivyo ulivyo basta..Ohoo hakyanani tena nakuja kukudanga๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kumbe shida ni kukuheshimu Na kukutii...View attachment 1660165๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
sana bibie, huku mimba ni bure kabisa.
 
Toka roho itake kuacha mwili nimeachana na habari za wivu kabisa-yule mwanamke kidogo aniue kwa mambo aliyoyafanya. Kuizoea ile hali ilinichukua zaidi ya mwaka na mpaka leo sijapona na kuwa na wivu sitaki tena wala kuingia kwa miguu miwili kwa MTU.
 
Umepata PTSD. Hahaha!
 
Back
Top Bottom