Mwanaume mwenye wivu unaishi nae vipi?

Habari
Uzi huo unajieleza nipendi mbinu za kuishi na mwanaume mwenye wivu na pia ni jinsi gani utamfanyia mwanaume wako ili azidi kukupenda?
najaribu kujibu hiyo 👆

mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.

Inasemekana lakini
 
Wivu ni kawaida.

Ila wivu wa hadi kuja kuomba humu ushauri inamaanisha wivu wake umevuka mipaka, kama ameanza na kukupiga na wewe unaona tatizo lipo kwako na unahitaji kujirekebisha ili muwe sawa hiyo inamaanisha jamaa ni manipulator na gas lighter mzuri pia.

Yaani anaweza akakosea yeye kisha akakuhamishia lawama wewe na wewe ukaomba msamaha.

Huo siyo uhusiano hata kidogo.
 
Huo wivu ,umefikia hatua gan??

Kundi A..

1-Anashika simu yako ila haongei zaidi ya kujikoosha kama Mtanzania aliyekua anajisaidia chooo che pazia tu kisha akasikia mtu anakuja choon!!


2--Kila mara anashika simu yako na anakuuliza maswali ,mara hii namba yanan?? Mbona imekupigia sanaa??nani amekuambia Mambo???


3--Anashika, anakuuliza na anakupa kipondo kama mbwa koko ???


Kundi B

1--Ana kupa muda wa kutoka na Kurudi nyumban

2--Unatoka kwaajili ya kazi ila kila muda anakupigia simu na video

3--Unatoka ila ole wako akukite umesimama njian na Jamaa

4---Hutoki kabisaa yaan nakazi kakuachisha

5--Hutoki yaan hata kwa mashost huendi, hata kwa ndugu huendi. Yaaan hadi kwa wazazi wako kapiga pini.


Suluhisho

1--Kama anadalili moja ya kundi A na hana hata moja ya kundi B au anayo Moja .,.,.... Ongea naye kiutu uzima.


2--Kama anazo mbili za Kundi A na moja ya kundi B..... Anza kua makini


3--kama anazaidi ya mbili za kundi A nambili za kundi B....... Anza harakati za kuachana na huyo Mbwa , Nikwamba yeye anagonga wa wengine. Ila hataki kugongewa, kwa mantiki iyo kuna siku MTAJIPA KESI.
 
Habari.

Uzi huo unajieleza nipendi mbinu za kuishi na mwanaume mwenye wivu na pia ni jinsi gani utamfanyia mwanaume wako ili azidi kukupenda?
Mada yako ni kituko!Unaelewa kuwa kupenda sana ndiyo huzaa wivu?Sasa unataka upewe mbinu za mwanaume wako kukupenda sana wakati tayari kuna tatizo la wivu linaleta shida ambalo hutokana na kupendwa sana?

Kuna uhusiano kati ya upendo na wivu ambao ni huu hapa:Upendo ni direct proportional na wivu,yaani jinsi upendo utakavyoongezeka ndivyo wivu nao utakuwa unaongezeka.Maana yake kitaalam ukitaka kudhibiti wivu basi zuia usipendwe lakini kama utataka kupendwa zaidi basi tegemea wivu nao utakuwa mkubwa zaidi.Kwa kifupi katika mapenzi kitu kikubwa ambacho huleta wivu ni pale mtu anapopenda sana.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom