Mwanaume mwenye wivu unaishi nae vipi?

najaribu kujibu hiyo 👆

mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.

Inasemekana lakini

😂😂😂duh
 
wanaume wenye wivu hupenda mwanamke muwazi asietengeneza mazingira tata kwenye mahusiano/ndoa, mweke wazi jambo lolote unalohisi usipomwambia then akalijua litaleta utata na kupelekea ugomvi
Siku moja nlikua naongea na simu isiku afu yeye akapiga kama mara mbili hivi bado nlikua natumika alikasirika sana yani sanaa ila nilikua naongea na rafiki ang😩😩😩
 
Wivu ni kawaida.

Ila wivu wa hadi kuja kuomba humu ushauri inamaanisha wivu wake umevuka mipaka, kama ameanza na kukupiga na wewe unaona tatizo lipo kwako na unahitaji kujirekebisha ili muwe sawa hiyo inamaanisha jamaa ni manipulator na gas lighter mzuri pia.

Yaani anaweza akakosea yeye kisha akakuhamishia lawama wewe na wewe ukaomba msamaha.

Huo siyo uhusiano hata kidogo.
Hanipigi ila ananuna mno
Hataki hata niwe nawasiliana na wateja wangu especially wakiume hata mchana yani
 
Huo wivu ,umefikia hatua gan??

Kundi A..

1-Anashika simu yako ila haongei zaidi ya kujikoosha kama Mtanzania aliyekua anajisaidia chooo che pazia tu kisha akasikia mtu anakuja choon!!


2--Kila mara anashika simu yako na anakuuliza maswali ,mara hii namba yanan?? Mbona imekupigia sanaa??nani amekuambia Mambo???


3--Anashika, anakuuliza na anakupa kipondo kama mbwa koko ???


Kundi B

1--Ana kupa muda wa kutoka na Kurudi nyumban

2--Unatoka kwaajili ya kazi ila kila muda anakupigia simu na video

3--Unatoka ila ole wako akukite umesimama njian na Jamaa

4---Hutoki kabisaa yaan nakazi kakuachisha

5--Hutoki yaan hata kwa mashost huendi, hata kwa ndugu huendi. Yaaan hadi kwa wazazi wako kapiga pini.






Suluhisho

1--Kama anadalili moja ya kundi A na hana hata moja ya kundi B au anayo Moja .,.,.... Ongea naye kiutu uzima.


2--Kama anazo mbili za Kundi A na moja ya kundi B..... Anza kua makini


3--kama anazaidi ya mbili za kundi A nambili za kundi B....... Anza harakati za kuachana na huyo Mbwa , Nikwamba yeye anagonga wa wengine. Ila hataki kugongewa, kwa mantiki iyo kuna siku MTAJIPA KESI.
Naona umeachiwa sasa..haya hujambo.
Naomba unionee wivu tasavali
 
najaribu kujibu hiyo 👆

mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.

Inasemekana lakini
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom