Mwanaume mtu mzima kulelewa na Mwanamke

Mwanaume mtu mzima kulelewa na Mwanamke

Hapo ndipo napo pataga ukichaa alafu wanajua kunyenyekea hao acha kabisa
 
Kuna dingi moja jirani yangu duh yani linalelewa na mwanamke
hadi limehamia kabisa, tena yeye na watoto wake wawili
anavonyanyaswa sasa, ila anakomaa kiume kulelewa itakuwa ni kitamu sana
 
Kuna dingi moja jirani yangu duh yani linalelewa na mwanamke
hadi limehamia kabisa, tena yeye na watoto wake wawili
anavonyanyaswa sasa, ila anakomaa kiume kulelewa itakuwa ni kitamu sana

Kuna lingine yaan kubwa muda qa kula linaenda nyumban kwa mama yake yaan hata akiumwa kichwa anaomba mia kwa mama yake sijui ni malezii
 
interesting.........mimi nikiona mtu ana six pack najiulizaga tu swali moja
anapata mda upi wa mazoezi? manake Dar kwenda tu na kurudi kazini siku imeisha...jumamosi na jumapili vikao vya harusi,hospitali na ishu tele........kumbe hawana kazi kabisa wanalelewa....nilikuwa sijui.....unakuta siku za kazi watu wako gym saa tatu

Niliwahi kusema hapa madereva ya STJ mengi ndio yamenenepeana kama kiboko kwa kulakula hovyo kuna member hapa povu lilimtoka kweli sasa na wewe umepiga mulemule.
 
Kuna lingine yaan kubwa muda qa kula linaenda nyumban kwa mama yake yaan hata akiumwa kichwa anaomba mia kwa mama yake sijui ni malezii
Hata sio malezi kujiendekeza na kupenda mteremko tu
yani hilo dingi ukiliona utacheka, mara apite na nyanya katoka sokoni, mara mchele
wakati huyo maza ana watoto wa kike wangeweza kufanya hayo teh
 
Hata sio malezi kujiendekeza na kupenda mteremko tu
yani hilo dingi ukiliona utacheka, mara apite na nyanya katoka sokoni, mara mchele
wakati huyo maza ana watoto wa kike wangeweza kufanya hayo teh

Wengi hupekeleshwaaa kama wamelishwa limbwata kumbe wala hajawekewa limbwata
 
Habari za jumapili wanajamii forum,

Leo ngoja niwapashe wale wanaume wanaopendwa kulelewa,hivi inakuwaje mwanaume mzima umepasuka kifua au una six pacs na mwili mkubwa unalelewa?????

Yaani haka kamtindo nakashuhudia sana hapa kilimanjaro hasa kwa jamaa ambao mademu wa kizungu wamewazimia lakini mwana hana hata kazi yoyote anayefanya ametulia tu analelewa jamani sisi wanaume hatuoni aibu???

Jamani kama umempata demu kakuzimia halafu wewe huna kazi mwambie basi akufungulie miradi ufanye hata na wewe uonekane unajituma sio umekaa tu unamtegemea yeye kwa kila kitu jamani wanaume wa shoka hili halifai jitume basi na wewe ili upate heshima ya huyo demu ambaye unaishi naye.

Hii kitu nimesimuliwa na mzungu mmoja hapa moshi wa kike aliyekuwa analalamika kwamba kuna jamaa yake anamtegemea yy kwa kila kitu yaani kampa gari,anamnunulia nguo lakini jamaa haonyeshi dalili yoyote ya kujituma jamani tubadilike.Jiwe hilo nimelitupa gizani litakalompata na abadilike, tujitume wanaume hata kama haupati basi onyesha unajituma ili kupata heshima ya huyo demu wako.

Simba, Duma, Chui nk asili yao ni kuwinda lakini wakikuta mzoga wanakula kama kawaida.
 
interesting.........mimi nikiona mtu ana six pack najiulizaga tu swali moja
anapata mda upi wa mazoezi? manake Dar kwenda tu na kurudi kazini siku imeisha...jumamosi na jumapili vikao vya harusi,hospitali na ishu tele........kumbe hawana kazi kabisa wanalelewa....nilikuwa sijui.....unakuta siku za kazi watu wako gym saa tatu

ha ha ha ha ha!!!!!!!!!! mkuu kwa Dar na kazi za kuajiriwa GYM hakuendeki aseeeh.

ila hao jamaa anaowazungumzia wanapatikana kilimanjaro , arusha , zanzibar , mombasa na sehemu kama hizo za utaliiii........ msingi kwa ni kiuno tu.
 
utaingia kwenye black list, shairilo. Mapenzi ni hisia tu, hata marioo anazo.

Jifunze kulea bana, kuna raha yake.

kumlea mtu mzima si kazi ndogo unalea na kuchepuka achepuke waweza kupata stroke
 
Ni mgawanyo wa majukumu tú.
Mi nago job musee analinda miradi.
 
Back
Top Bottom