Mwanaume mtu mzima kulelewa na Mwanamke

Mwanaume mtu mzima kulelewa na Mwanamke

Hata sio malezi kujiendekeza na kupenda mteremko tu
yani hilo dingi ukiliona utacheka, mara apite na nyanya katoka sokoni, mara mchele
wakati huyo maza ana watoto wa kike wangeweza kufanya hayo teh
mi nilijua unakaa mitaa ya mageti makali.
 
utaingia kwenye black list, shairilo. Mapenzi ni hisia tu, hata marioo anazo.

Jifunze kulea bana, kuna raha yake.

hahaha sipati picha watoto wanakuwa wanaona baba yupo yupo tu hasomeki watacopy nini kwake
 
Six pack zinatengenezwa wakiwa teenagers...hazifutiki hizo...

Wewe Boss hukuwahi kunyanyua vyuma ukiwa kijana vile wanavyojaza cement?

1980s ilikuwa fashion ...

Kaka zangu walicheza mpaka karate...unacheza na 1980s/1990s...

Siku hizi mitandao imefanya vijana wasiwe active..




interesting.........mimi nikiona mtu ana six pack najiulizaga tu swali moja
anapata mda upi wa mazoezi? manake Dar kwenda tu na kurudi kazini siku imeisha...jumamosi na jumapili vikao vya harusi,hospitali na ishu tele........kumbe hawana kazi kabisa wanalelewa....nilikuwa sijui.....unakuta siku za kazi watu wako gym saa tatu
 
Mwisho wa siku wakichokwa wanageuka kuwa mashoga
 
Six pack zinatengenezwa wakiwa teenagers...hazifutiki hizo...

Wewe Boss hukuwahi kunyanyua vyuma ukiwa kijana vile wanavyojaza cement?

1980s ilikuwa fashion ...

Kaka zangu walicheza mpaka karate...unacheza na 1980s/1990s...

Siku hizi mitandao imefanya vijana wasiwe active..

Hebu anza kunilea nishinde gym aisee...
nionje hii 'privilege' of the few......

majukumu nayo yanazeesha......'
 
Nashangaa tunalilia usawa afu tunakataa majukumu yanayoambatana nao...
 
Shaka ondoa...nita provide kila kitu...

Wewe tengeneza body hiyo ...

Afu tukitoka ukiwa ndani ya slim fit mbona wasiotaka kuwekeza (mkono wa birika) watakutamani...


Hebu anza kunilea nishinde gym aisee...
nionje hii 'privilege' of the few......

majukumu nayo yanazeesha......'
 
Shaka ondoa...nita provide kila kitu...

Wewe tengeneza body hiyo ...

Afu tukitoka ukiwa ndani ya slim fit mbona wasiotaka kuwekeza watakutamani...

Nimekimbia majukumu kwa Kaunga ...sababu hii
naona nazeeka fast ..hadi pesa ya fagio ananiuliza ngoja nije kwako sasa kula good times..
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh..

Nakushangaa kilichokuwa kinakuweka huko ni kipi...

Hapa mpaka kuoga ntakuogesha...

Chochote utakacho ntakupa...

Ila kwa masharti (nafuu) ...sitaki nikuone tena na kina Kaunga...

You have to be mine...only mine...

Mi sio mkatili..sitakutimua...tena ukipenda nakufungulia business ukiona kushinda gym peke yake unachoka...

Nimekimbia majukumu kwa Kaunga ...sababu hii
naona nazeeka fast ..hadi pesa ya fagio ananiuliza ngoja nije kwako sasa kula good times..
 
ha ha ha ha ha!!!!!!!!!! mkuu kwa Dar na kazi za kuajiriwa GYM hakuendeki aseeeh.

ila hao jamaa anaowazungumzia wanapatikana kilimanjaro , arusha , zanzibar , mombasa na sehemu kama hizo za utaliiii........ msingi kwa ni kiuno tu.

Dar hata ukiwa na michepuko miwili tu time table haikubali....sijui wengine wanawezaje...
naona ndo maana lunch time sex imeongezeka.....
 
Teh teh teh..

Nakushangaa kilichokuwa kinakuweka huko ni kipi...

Hapa mpaka kuoga ntakuogesha...

Chochote utakacho ntakupa...

Ila kwa masharti (nafuu) ...sitaki nikuone tena na kina Kaunga...

You have to be mine...only mine...

Mi sio mkatili..sitakutimua...tena ukipenda nakufungulia business ukiona kushinda gym peke yake unachoka...

naona ule mwaka wa kuvaa sox na sandalz umewasili
ni mwendo wa pensi sox na sandals tu sasa ha ha haa...gym asubuhi...jioni bata tu...
ngoja niandae barua ya ku resign now..
 
Kwa taharifa gym inapunguza michepuko...keep your body busy uone kama unakuwa na huo muda...


Dar hata ukiwa na michepuko miwili tu time table haikubali....sijui wengine wanawezaje...
naona ndo maana lunch time sex imeongezeka.....
 
Tena fanya faster...

Wewe utakuwa ukitoka gym unanipitia job tunatafuta wapi tukatumie baas...

Hakuna atakaye zeeka kati yetu...

Nachotaka ni malavedave hayo tu na mimi nikutunze...

naona ule mwaka wa kuvaa sox na sandalz umewasili
ni mwendo wa pensi sox na sandals tu sasa ha ha haa...gym asubuhi...jioni bata tu...
ngoja niandae barua ya ku resign now..
 
naona ule mwaka wa kuvaa sox na sandalz umewasili
ni mwendo wa pensi sox na sandals tu sasa ha ha haa...gym asubuhi...jioni bata tu...
ngoja niandae barua ya ku resign now..

Sox na sandals umenikumbusha paroko wetu miaka ya 80's ndio nilijuwa kumbe sandals nayo uvaliwa na sox, siku hizi nawaona wabeba mabox wakishuka ndio pose zao.
 
Sox na sandals umenikumbusha paroko wetu miaka ya 80's ndio nilijuwa kumbe sandals nayo uvaliwa na sox, siku hizi nawaona wabeba mabox wakishuka ndio pose zao.

hahaa haa umeona sasa kumbe na mimi watu watafikiri nimeshuka,kumbe @nyumba kubwa anawezesha....
 
Kulelewa ni kipaji aisee kama sio kipaji chako utaona aibu, kuna kipindi nilikuwa kwenye transion period, mrembo anajitahidi ku-provide service kidume kuchukua support nikawa naona so lakini sometime anajitutumua ili mradi maisha yaende lakini nilikuja kugundua kuna wengine huwa wanalea kwa lengo la ku-speed up mambo flani flani kutokana na pressure ya jamii. Ila all in all mwanaume unatakiwa kujituma hata kama utabahatika support mwisho wa siku mambo yako yakienda vizuri inabidi urudi kivingine kwa kurudisha ela kwa mtindo mwingine
 
Tulia ww kila mtu anakipaji chake so kuna wengine vipaji na juhudi zakufanya kazi zipo kitandan,Kwataarifa yako hata mimi kwasasa natafuta jimama lakunilea coz nimechoka kulea halafu malipo yake ni maumivu tu.karibuni majimama mnaohitaji kupewa raha za dunia nafac ipo wazi
Habari za jumapili wanajamii forum,

Leo ngoja niwapashe wale wanaume wanaopendwa kulelewa,hivi inakuwaje mwanaume mzima umepasuka kifua au una six pacs na mwili mkubwa unalelewa?????

Yaani haka kamtindo nakashuhudia sana hapa kilimanjaro hasa kwa jamaa ambao mademu wa kizungu wamewazimia lakini mwana hana hata kazi yoyote anayefanya ametulia tu analelewa jamani sisi wanaume hatuoni aibu???

Jamani kama umempata demu kakuzimia halafu wewe huna kazi mwambie basi akufungulie miradi ufanye hata na wewe uonekane unajituma sio umekaa tu unamtegemea yeye kwa kila kitu jamani wanaume wa shoka hili halifai jitume basi na wewe ili upate heshima ya huyo demu ambaye unaishi naye.

Hii kitu nimesimuliwa na mzungu mmoja hapa moshi wa kike aliyekuwa analalamika kwamba kuna jamaa yake anamtegemea yy kwa kila kitu yaani kampa gari,anamnunulia nguo lakini jamaa haonyeshi dalili yoyote ya kujituma jamani tubadilike.Jiwe hilo nimelitupa gizani litakalompata na abadilike, tujitume wanaume hata kama haupati basi onyesha unajituma ili kupata heshima ya huyo demu wako.
 
Back
Top Bottom