miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
ha ha jamani miss chaga hiyo ni mahaba niue
Kwa kwel mi siwez mkuu nitakiwa na hasira kila saa
ha ha jamani miss chaga hiyo ni mahaba niue
nanjilinji mtwara nayo msingi nini?Mjini msingi Kiuno
Mjini msingi Kiuno
watakuwa wanajituma kitandani Dinazarde
nanjilinji mtwara nayo msingi nini?
Kusini mtaji ni nguvu zako mwenyewe. Ukitaka k isisepe lazima utumie minguvu ili utimize wajibu. Hujui kuwa huku wanaume tunatumika Na uchagani mwanaume anaoa?