...aisee wewe ropoka tu bana, usijali kuitwa majina...halafu hii tabia ya kujitegemea kila kitu ndiyo inayoinizidisha na kiburi cha kutotafuta msaidizi wa maisha....
labda siku nikitamani chapati, kidogoo nalegeza kamba ya nani atanifaa...Oopss
MTM fagilia sana hizo service apartments kamanda, hats off bro...tangu nigundue raha zake
sifagilii tena mambo ya vyumba.
She can say that again... Nobody is perfect. The best thing is to know them gapsKwahiyo kupika ni kujazilia imperfections?
AISEEEEEE. . . .
Unajua kamanda siogopi majina lakini hii mentaliti mtu akiwa nayo basi anakuwa so conservative na hakuelewi. Na naongea hivi kwasababu mwenyewe nilipokuwa Afrika nilikuwa na mtazamo huo huo na nilikuwa hauna la kunieleza kuhusiana na habari ya mwanaume kupika na although mpaka leo sipendi cooking lakini nilipofika huko the so called utumwani nikagundua style ya maisha mpya kabisa na inakubalika na watu wako proud nayo na ndio maana nasema hapa kuna clash of civilisation, at the end of the day kila mtu atabakia na msimamo wake....aisee wewe ropoka tu bana, usijali kuitwa majina...halafu hii tabia ya kujitegemea kila kitu ndiyo inayoinizidisha na kiburi cha kutotafuta msaidizi wa maisha....
labda siku nikitamani chapati, kidogoo nalegeza kamba ya nani atanifaa...Oopss
MTM fagilia sana hizo service apartments kamanda, hats off bro...tangu nigundue raha zake
sifagilii tena mambo ya vyumba.
THANK YOU, THANK YOU, THANK YOU.
....kuoa hiari, kula lazima.
Kabila yangu? usijali...mie mswahili.
Mkuu hata uko nchi za ulaya, still bado wapo ambao wanaona kuwa kazi za jikoni ni kazi ya mwanamke, mpaka leo bado nchi kama Uingereza, kulea watoto, na kazi zingine zaa nyumbani wanaona ni za kike japokuwa ndio nchi zinazoongoza kwa hizo zinazo itwa haki za wanawake... Kesi za kuwanyanyasa wanawake ni nyingi tu, tatizo watu wengi wanadanganywa na hizi filam za kutoka ulaya na Amerika... Wakiona yale maisha na mapenzi ya kwenye zile filam basi wanafikilia ndio hali halisi, kumbe maisha halisi ni tofauti kabisa.sioni clash
ni choice yako to uproot the pumpkia around the homusted
kuishi ulaya hakumaanishi lazima uache kacha yako na kufuata yao
au kuona yao ni bora kuliko yetu
its by choice not force
hehehe Kongosho siongelei kuishi ulaya au nje ya Tanzania, naongelea mazingira. Kuna sehem unakuwa hauna mjomba wala shangazi na hakuna mama ntilie ya kuponea kwa bei za kizembe plus majukumu kibao sasa mida imefika wewe utasubiri waifu arejee akupikie? Hao wazungu wengi wao wamesukumwa na mazingira kama sisi tulivyosukumwa na mazingira.sioni clash
ni choice yako to uproot the pumpkia around the homusted
kuishi ulaya hakumaanishi lazima uache kacha yako na kufuata yao
au kuona yao ni bora kuliko yetu
its by choice not force
Sasa kama biology ndio inayotuma watu kuoa kwanini tusioane tukishabalehe na kuvunja ungo tukiwa na miaka 12????
Kwahiyo kupika ni kujazilia imperfections?
AISEEEEEE. . . .
Wala sina haja ya kumuuliza.Bibi yangu aliolewa akiwa naumri wa miaka ishirini na kitu.Sio kila mtu wa zamani alikua akisubiria ndoa tu.Lifestyle inatubana
hasa shule hizi
na kutaka kujipanga kwanza
muulize bibi ako aliolewa na umri gani
na ndo mana walikuwa wanauwezo wa kuzaa watoto wengi sababu walianza mapema
sasa unaolewa na miaka 30 wakati ukifika 35 unaanza kuwa kwenye red zone kwenye mambo ya uzazi
....kuoa hiari, kula lazima.
Kabila yangu? usijali...mie mswahili.
Kwahiyo wale ambae hawakuwahi kuoa/kuolewa ila wameacha watoto walikua wanajibiolojia wenyewe?
She can say that again... Nobody is perfect. The best thing is to know them gaps
kamon liz
s.e.x ni biology
kama kiumbe hai yeyote we need it
soona fter adolescence
tunajizuia sababu ya lifestyle
kuzaa nje ya ndoa is unacceptable
kwa mazingira yetu
japo inawezekana
Mkuu, samahani kidogo maybe niliharakisha kujibu bandiko lako lililopita hapo juu... Dah! Sijui nianze vipi anyway...@x-paster
anyway partly yes partly no
we mwanamme ubaki home unafanya nini wakati mkeo kaenda kazini?
Kwa nini usiwe wewe umeenda kazini mkeo abaki anapika?
Familia ni taasisi na baba ni ceo
sasa ceo gani anamwachia kaimu majukumu muhimu
angalia Tz, entinty ya juu kabisa kukosa kuwa na msimamo nchi ka inayumba vile hata kama wa chini yake wana msimamo vipi
eti baba yuko jikoni anapika bintizake na mkewe wanatizama TV, duh hizo ni egoli tupu, kwa wanaoishi nje labda mazingira yamewalazimisha kuwa hivo
Wala sina haja ya kumuuliza.Bibi yangu aliolewa akiwa naumri wa miaka ishirini na kitu.Sio kila mtu wa zamani alikua akisubiria ndoa tu.
Unacceptabke to whom?
You?Unatuwakilisha wote tuliopo hapa duniani?
Kila mtu anachagua aina ya maisha anayotaka.Sio kila mtu anataka kuoa/kuolewa kwasababu sio lazima kwake.Ndoa zenyewe za majaribio hizi??Sio kila mtu ana huo muda. Na swala la kuzaa bila ndoa vile vile ni maaumuzi, kama wahusika wameridhia, wapembeni wanaumizwa na nini?