womanhood
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 609
- 881
Dawa za uzazi wa mpangoHofu yangu hata wanawake wanaota vitambi bila mimba wala nn. Sijui ni kwann
Dawa za uzazi wa mpangoHofu yangu hata wanawake wanaota vitambi bila mimba wala nn. Sijui ni kwann
Huu ulikuwaga wivu tu wa kike!Enzi za mwalimu ilikuwa lazima uwaeleze huo mwili umeupata wapi!
Unawaonea wivu!?Khaaa! Sikuelewi ati!Mwanaume akiwa kiasi anavutia sana ila hiyo mitumbo mnayoipenda inachefua aaaghh