Mwanaume mnene ni kituko kwenye jamii

Mwanaume mnene ni kituko kwenye jamii

Lakini mpk awamu hii kwisha kama kutabaki na mwanaume mnene sijui!
Kuna mijitu imenenepeana awamu hii mzee.
Kuna mitrafick kila baada ya saa anaokota 5000 piga io mara masaa nane ya kazi ni 40000. Yyote anaenda kuicha 5 way kwenye kitimoto
 
We ukasema Umeme mbaya mwingine anakuja na mbinu ya kutafuna Bonge nyanya bila ya kuishiwa pumzi.
 
We ukasema Umeme mbaya mwingine anakuja na mbinu ya kutafuna Bonge nyanya bila ya kuishiwa pumzi.
Kwa io we na wewe unatamani kitoto cha kiboko
155dd24032f45e53e6e33ca2bbe5d39f.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom