Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,232
Tatizo hii mada watu wanachanga vitu viwili
1)Kuishi nyumbani
2)utegemezi/kujitegemea
Kuna wanaoishi nyumbani mpaka miaka 40 na wengine mpaka wanazeeke ila wanajitegemea na zaidi kutegemewa na wengine.
Kuna wasioishi nyumbani na tegemezi kwa wazazi wake.
Malanyingi hivi vitoto vinavyomaliza form 4 na chuoni huko havina majukumu ya kuhudumia wazazi vinakimbilia kupanga na kuanzisha mada za kitoto kama hizi.