Mwanaume mfupi mke mrefu

Mwanaume mfupi mke mrefu

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
Huyu dada amegomea katukatu proposal ya marriage toka kwa huyu jamaa.

Dada ni mrefu 180cm jamaa 148huko, ananiambia anamlia tu tupesa twake. koh koh..
 
Mmh, tofauti ya cm 32??? Kubwa kwa kweli, hata mie neh.
 
Huyu dada amegomea katukatu proposal ya marriage toka kwa huyu jamaa.

Dada ni mrefu 180cm jamaa 148huko, ananiambia anamlia tu tupesa twake. koh koh..

Vipi kuhusu urefu wa kigegeda na kigegedwa....???
 
Mbona mimi nina mchumba wangu mrefu zaidi na ananipenda. Tena ni msomi ana miaka ishirini na mbili namimi nimempita miaka nane. Hivi najiandaa kupeleka mahari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom