Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Mbona kaka yako andunje lkn nimemkubali
Hapana bwana kaka yangu sio mfupi.
Mbona kaka yako andunje lkn nimemkubali
napenda ya romantic eyes tu..
Hapana bwana kaka yangu sio mfupi.
Amna mie naangalia urefu wa dushee
eh....!
Ndio.....mbona ka umestuka vilee
sijastuka, ila nawaona mabinti walivyo na anavyoenda makubwa lakini wakiingia ndani wao hamna kitu....!
Na wanaume wanaojifanya wanajua sana kunanihi.....mkiingia chumban pia akuna kitu
Kuolewa
imagine umekubali kulia for five consecutive years....unadhani hat ukikata kuolewa mwanaume atapata pressure?