Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Wanawake wanaoliwa na wanaume wa nje wapo wa aina mbili; 1). Wale ambao wanahuruka tu ya kuwa na wanaume zaidi ya mmoja; 2) Wale ambao kuliwa kwao kunasababishwa na wanaume wao. Naomba niliongelee hili. Wanaume wengine wanashindwa kuwa treat wake zao kama wake. Wanawanyanyasa sana kwa kuwapiga wao wenyewe na wengine (makabila mengine) hata wadogo wa kiume wa mwanamme wanadiliki kumpiga shemeji yao na mume anashabikia. Wanaume tunashindwa kuwa mapenzi wake zetu kwakuwa tunakuwa na michepuka mingi nje, mwanamke anabaki kama mfanyakazi tu home, sex hapati na mambo mengine muhimu kama mwanamke hatimiziwi. Inapofika mwanamke anaona kuwa mumewe hamthamini yeye kama mke na kwakuwa yeye ni binadamu kama wengine uwezo wake wa kuvumilia unakwisha anaamua kuanza mambo haya na anapoonja anakutana na vitu ambavyo hajawahi fanyiwa na mumewe hata siku moja na wala hatarajii kufanyiwa hivyo. Mimi binafsi sikubaliani sababu yeyote inayomfanya mtu si mwanamke tu bali hata mwanaume kwenda nje ya ndoa lakini binadamu wote hatufanani na uwezo wetu wa kuvumilia au kuvunja ndoa hauko sawa hivyo mtu huamua kuendelea kuwa kwenye mahusiano huku akiwa na mchepuko nje unaomfariji kuliko mwenza wako na mara nyingi faraja hizi zinapatikana zaidi toka kwa mtu wa nje aliyenaye kwenye ndoa.
 
nadhan ungesema hata na wadada wanaotembea na waume za watu !unavua nguo na unaona pete kbs mkonon mwa mwanaume ! nakosa cha kusema ! demi kapeace njoon mnisaidie 2

bdw ukiona mke anachepuka na sio tabia yake toka uchumba jua kuna kitu hakipo sawa jipeleleze mwanaume !ingawa wengine ni hulka yao !

ni MENGI SANA !
Teh... vipi wanaotoka na waume za watu mbona hawazungumzii. Ni kama hataki wake agongwe! Ha ha haaa.
 
WAKE ZA WATU TATZO WANAJILENGESHA WENYEWE, NA WANAUME PIA NI MADHAIFU ANAKULA MZGO. Waambien wake zenu watulize mapaja yao
 
Ifike mahala wanaume tuoneane huruma, mwanaume mwenzako anatoa posa, anatoa mahari anaoa mwanamke. Anamvesha anamlisha anamgharimia kila kitu kwa moyo wake wote unakuta mwanaume mwingine anayejua kuwa huyu ni mke wa mtu anakuwa naye kwenye uhusiano.

Wapo wanawake wadhaifu wakitongozwa kukataa hawawezi ndo hilka ya baadhi ya wanawake lakini wanaume tukiwa na roho ya huruma kwa wanaume wenzetu tunaweza komesha ufuska na tabia hii chafu.

Wanawake ambao hawajaolewa wapo wengi sana hao hawana kipingamiza wala hutolaumiwa na yeyote. Wapo wanawake wengi wanajiuza inakuwaje uparamie mke wa mwanaume mwenzako.

Wanaume tukiamua kujitetea na kukomesha tabia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wanawake maana hawatasumbuliwa pia wataepukana na vishawishi.

USITONGOZE WALA KUWA NA UHUSIANO NA MKE WA MWANAUME MWENZAKO. WANAUME TUPENDANE TUONEANE HURUMA.
Wanawake wao hawajielewi? Hawawezi kujitetea wenyewe? Ukiona mwanamke naye anakubali kuvua chupi kwa mwanaume ambaye si mume wake ana element za umalaya
 
Wakuu, huu uzi sio mwembamba kama ambavyo mnauchukulia kiwepesi hivyo, zameni ndani zaidi ili kupata tatizo, kisha mtafute tiba yake,, Nikweli hali hio imeshamiri sana hasa ktk mataifa mengi, TATIZO KUBWA HAPO linakuja baada ya ninyi kufunga ndoa au hata kuishi bila ndo, lengo ni kuwa family ktk maisha yakila siku, ktk maisha ya ndoa au unyumba ,kuna vitu huwa vinajitokeza automatic ambavyo havina suluhisho na nijanga kubwa sana japo huwa halijionyeshi ktk hadhara, jambo hili?NIKULE KUTO FURAHIA TENDO LA NDOA HASAHASA KW WAKE ZETU HAWA,kule kutomtosheleza mwamke ndiko kumezua haya yooote ,, Mke humtumi akatosheka una mwagiamwagia tu, unashuka wakat mke anatakiwa ALIWE kisawasawa hadi umtoeham,, Ndio kazi kubwa waluoumbiwa na mungu, mengine ziada tu, Ukishindwa kufanya hivyo juwa mke atapeleka ikasuguliwe vizuri nawasuguaji, lakini pia upande wao hawa jike wawe ni wenye kumbembeleza dume wakati dume lipo kazini, Hasa pale linapokuwa limepumzika ktk raund ili kumhamasishia hisia ili apande tena kizimbani kutoa hukum yandoa, Mwanamke nikiumbe kaumba kwa kazi hio kubwa, tena uki t0...mb....!! Vizuri akarizika " utamuona ananawiri nundu chuchu,muonekano wake unakutamanisha muda wote,hana hasira ni kucheka na matabasam yakufamtu, Usipo fanya hivyo, utamuona anajisonya mara kw mara, kanuna nuna tu,hasira hazimuishi tena anaweza kuchapa hata watoto bila hata sababu zamsingi, kwahio wacha waliwe kama waume zao WABOVU!!"
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu umesema ukweli mkuu sema sasa wanajifanya hawaelewi
 
Inakera tu kama mumewe unamjua,au mumewe ni rafki yako ndio unatakiwa kuwa na huruma.lakin mumewe humjui wala hujawahi kumuona anakueleza tu ameolewa gegeda tu mkuu,na ukiacha wa wenzio wa kwako atagegedwa.
 
Hebu tuzingatie yafuatayo, japo ni machache, lakini yanaweza kutupatia mwanga kidogo......
  1. Utakumbuka kuwa watu huoana na kuachana.....! So, mkiachana asubuhi mchana kila mtu anakuwa huru, then usiku mnarudiana.....
  2. wanaume huwa tunatoa "offer' na mwanamke akiwa huru ndiye hutoa "acceptance"....! Sasa kama mwenyewe ameamua kutoa "acceptance" akijua yuko kwenye mkataba mimi inanihusu nini?
Lakini pia kwa sababu sio kila wanaofanya hivyo wamependana, bali huenda ni dharura, unawashaurije wake za watu katika mazingira ya udharura? Je, unatukumbusha kuuliza kila mwanamke kama yupo kwenye mahusiano kabla ya kurusha ndoano?
 
Mkuu KITUMBUA CHA KUGOMBANIA KITAMU,, JAPOKUWA KINA MCHANGA ,,,,yaani kitendo cha kujuwa huyu mke wa mtu,,,napata NGUVU ZA AJABU.....nakwenda saa nzima bila kushuka.....halafu WAKE ZA WATU hawana gharama.....akija GHETO anakuja na MAPOCHOPOCHO kwanza..yaani hufi njaa...
 
hhahahaha mwandende JR nimecheka kwa ngv jaman najuta kulog in aisee !dah eti anakuja na mapochopocho ....hahahaha hufi njaaaa !dah !
 
Back
Top Bottom