Mkuu Mbu,
Unaweza kutusaidia kwa kutupa walau list fulani ya vitu ambavyo vinafanya issue iitwe ukuwadi na vile ambavyo siyo sehemu ya ukuwadi?
Mie nilidhani kwamba ukuwadi ni pale ambapo X anamfuata Y na kueleza kila kitu on behalf of Z!
Ila kama Z akija kwako (knowingly or not) akaomba kitu kama namba ya simu ya Y, huo nao ni ukuwadi?
Babu DC!!!
Mbogo ndo mdudu gani vile?
Hahahaha!! Bwa'Nchuchu
Biashara inalipa sana hiyo. Majuu watu wanakuwa na makampuni mahsusi kwa kazi hiyo tu. Na mafaili ya taarifa za watu zinahifadhiwa na kulindwa kuliko nyaraka za serikali
Fanya mambo, vijana wanateseka bila ajira mitaani
Hahahaha!! Umetisha Bwa'Nchuchu kuna haya maishiri ya taarabu baana kuna siku nimekaa sehemu nasikia wimbo mmoja wa taarabu kibwagizo chake wanaimba "Hadija Kamnyima Kuku Mumewe"....lolKidani changu cha dhahabu nakipenda kama zabibu
Kuwa nacho sioni tabu, naelewa mimi sababu
Kukibeba sioni tabu, kukiacha sioni sababu
Kidani changu za dhahabu nakipenda toka zamani
Kidani changu cha thamani nakipenda toka zamani
Hata mkinifitini sitokiacha asilani
Kidani changu za dhahabu nakipenda toka zamani
Kidani changu cha thamani nakipenda toka zamani
Hata mkinifitini sitokiacha asilani
Definition yako ya kuwadi inakubalika
Hiyo ya kutoa namba ya simu tu, au kutoa info nyengine kama anafanyakazi wapi, au ana hang-out wapi haihesabiki kuwa ni ukuwadi licha ya kuwa ni tabia ambayo haipendezewi
Mbogo ni buffalo kwa kizungu....Waswahili hiyo buffalo wanaitamka hivyo hivyo na "u" yake:smile:
Ndahani nataka nikutume kwa mdogo wake Gaijin wewe si rafiki yangu bana najua hautoniangusha nitakuwezesha nitakuwekea mafuta kwenye gari...lolUmegundua eeeh! Tunaweza kuongeza soko la utalii kama la kule Bali, Indonesia. Isipokuwa Thunami iliwapiga vibaya...inaaminika mashoga ilikuwa ni moja ya beach zao.
....hahaha....umeona ee? Mswahili mpe 'pilau' auze utu wake...
Haaahaa! Bishanga hii kali na umesema ukweli kabisa....maana kuipandisha adrenalin na kupata confidence kwa ajiri ya mwanaume mwingine lazima niwe na kasoro.
Definition yako ya kuwadi inakubalika
Hiyo ya kutoa namba ya simu tu, au kutoa info nyengine kama anafanyakazi wapi, au ana hang-out wapi haihesabiki kuwa ni ukuwadi licha ya kuwa ni tabia ambayo haipendezewi
I can, at least deal with that, ila siyo kuitwa kuwadi na umri wote huu!!
Sasa tayari nilishatafuta matenga yangu ya matunda na gunia la mkaa, naweza kwenda romantically kupata lunch ya nguvu kwa Bibi.....!!
Mubarikiwe sana,
Babu DC!!
Hapa dar kuna watu nawafahamu wanaishi kwa ukuwadi.Huwezi amini kwenye vinotebook vyao wana namba za simu za mapedeshee wote wa mjini na hali kadhalika wana namba kibao za wasichana wazuri ambao ni 'available at short notice' (nikikupa baadhi ya majina utashangaa maana ni well known figures). All they do ni kuunganisha na kuna wakati wanalamba hadi dola mia mbili kwa kichwa. Sad enough wanaunganisha hata na wake za watu na vivulana,huwezi amini ndugu yangu lakini hiyo ndo hali halisi bongo ya leo.
Hahaha wewe unacheza, ukiniona jinsi nilivyo mwenyewe utaacha kunimwagia tindikali, badala yake utatafuta mtu akukuwadie :heh:
Halahala mti na macho tu..........usije sema hujawahi kusikia kuwadi akijikuwadia mwenyewe tu
:lol::lol::lol:...Nyie wawili hapo juu mtalipa bili hapa Hospitali Mwananyamala kwa kuvunja mbavu zangu mbiliThe Finest, Hiyo mipira ya kutanguliziwa miye siiwezi...kuna wakati niliona kwenye Jerry Springer Show jamaa aliyekuwa amepata mpenzi online. Sasa siku ya kukutana wakakubaliana wakutane kwenye ile show...mbona kijana presha ilimpanda. Yeye alikuwa anajua amepata bonge la kimwana....kwenda kule kakutana na libaba kubwa hilo kuliko haya yeye mwenyewe.
Mi sitaki kupata hizo suprise...kwenye social circles zangu, I would meet nice chaps in case I need one...as of now, kitabu kimefungwa, lol!
Lizzy naona uko kwenye User Tag List. Usije hapa.
It's hostile territory for you. Just stay put wherever you are.