Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,524
- 146,049
Bee nililitunga tu na ndio hivyo hivyo nilivyolitunga Bey ........[Yote yakirejelea Beyawnce]
Kuna tatizo?
Lizzy naona uko kwenye User Tag List. Usije hapa.
It's hostile territory for you. Just stay put wherever you are.
Mbona umekuwa mkali kama mbogo Gaijin? Umeshanijibu, yaishe basi. Au sio?
Duh!Kwani Lizzy kuwadi?!
The Finest
Wacha nijibu sasa swali la thread yakao.
Unajua mwanamke kama anakupenda hata atangozwe vipi hawezi kabisa kutongozeka.
Kuwadi au shangazi zake kuwadi hawawezi kabisa kufanya kitu pale :A S shade:
...."utatuzi wa mada ya kiswahili kwa lugha ya kiingredha!" .....wanatafuta kukutoa mstarini hawa, pimps, gigolos, madames, mistresses , escorts, sijui brothels tuziache huko huko...
Ndo maana nimewapa mifano ya nyumba za kupanga uswazi, au hata uzunguni mama mwenye nyumba na bintiye....au, asili za ngoma zetu 'kuvutia' wachumba...
Huku maofisini, msijidai hamjaona mgeni rasmi anakabidhiwa mkasi na utepe na binti mrembo. Na wale wanaosafiri kikazi kupewa binti mrembo mzee aji 'feel at home'...ukuwadi upo wa aina nyingi....
Mbogo ndo mdudu gani vile?
Alishawahi kutishiwa kumwagiwa matindikali na humu naona mnazungumzia sana hayo matindikali...so my warning to her is just a random act of concern. Asije akaja kuuza sura yake humu halafu yakamkuta.
Mambo mengine vipi lakini? Is life treating you well?
Kumtuma mwanaume mwenzangu amtonge mwanamke on my behalf...mmmh mbona haijakaa sawa. Kipi alichonacho ambacho mi sina?
Yaishe basi Gaijin....kama nimekukosea naomba tu unisamehe. Sitarudia tena, sawa Gee? Sasa na wewe usiniulize hilo Gee nimelijulia wapi.
Umenisamehe?
Ahhh tindikali ya leo haimhusu bana......mwache aje ajifarague, The Finest kaporwa na kuwadi :lol:
Mambo bien, life is treating me pretty good, can't complain
Hebu tumwagie kibwagizo cha mduara hapa, cha kumsindikiza kuwadi wa The Finest kwanza
Ntake radhi bwa'mkubwa........sifanyi ukuwadi kirahisi rahisi namna hiyo
Hahahaha!! Bwa'NchuchuLizzy naona uko kwenye User Tag List. Usije hapa.
It's hostile territory for you. Just stay put wherever you are.
Mkuu Mbu,
Unaweza kutusaidia kwa kutupa walau list fulani ya vitu ambavyo vinafanya issue iitwe ukuwadi na vile ambavyo siyo sehemu ya ukuwadi?
Mie nilidhani kwamba ukuwadi ni pale ambapo X anamfuata Y na kueleza kila kitu on behalf of Z!
Ila kama Z akija kwako (knowingly or not) akaomba kitu kama namba ya simu ya Y, huo nao ni ukuwadi?
Babu DC!!!
Kuwadi alichonacho ambacho we huna ni njaa!