Mwanaume..."KUWADI"

Ndahani mimi ndo maana naona ni insult
sasa heri huyo umemtuma, mwingine hata hujamtuma anajitia kimbele front tu...:A S angry:

Bey sema tu kama huyo alokuwadiwa ulikuwa hujamfeel.....ungekuwa umemfeel wala usingekuja ukaleta hadithi hizi saa hizi
 

Kwani kuwadi maana yake inakoma kwenye watu waliocommited tu?

Kuwadi kimsingi wa neno lenyewe ni PIMP yoyote tu

Unaona msingi wa swali la TF?

Hapo kwenye red, ina maana akiwa mwanamke siyo kuwadi?

[h=3][/h][TABLE="class: ts"]
[TR]
[TD][h=3]pimp[/h][/TD]
[TD][TABLE="class: ts"]
[TR]
[TD]= A man who controls prostitutes and arranges clients for them, taking a percentage of their earnings in return.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Babu DC!!
 
He he he he, niko tayari kuogelea kwenye :rip😛olonium 210.

Lakini leo lazima nifanye tukio la mwaka.😛eep:

hahahaaa hapo sasa....
tindikali ntawamwagia kuwakomoa tu na si vinginevyo....:A S 41:
 
hahaha taja kwanza unaetaka kukuwadiwa, kama unaingilia maslahi binafsi, zoezi hilo halitawezekana kamwe
Hahaha!! Ndio mambo ya kumwagiwa tindikali aliyoyasema bht
 
Last edited by a moderator:
Bht nae kazidi The Finest! Manake ana wivu na mtoto wa mwanamke mwenzie utasema kamzaa yeye! Kha! Sulfuric acid huwa ni sh ngapi kwani (niko kimkakati aisee, haili kwangu hata siku moja!)

jamani jamani jamani tukutane Patandi kwenye tambiko
 
Hapo kwenye red, ina maana akiwa mwanamke siyo kuwadi?

Kwa sisi Waswahili, kuwadi ni mwanamke na mwanamme. Pia si lazima awe amemkuwadi mtu ambae yupo commited

Kwetu kuwadi lina maana pana sana tofauti na neno pimp la Kiingereza
 
Sasa na mwanamke akimtaka mwanaume, ina maana nae inabidi atafute kuwadiress ama inakuwaje? Msaada tafadhali, mpphhheewww! Kuna m'baba namtolea macho humu (PAW usione hii tafadhali)
 
He he he he, niko tayari kuogelea kwenye :rip😛olonium 210.

Lakini leo lazima nifanye tukio la mwaka.😛eep:

unajiamini huku unafichama kimbuni mbuni
nalisubiri tukio la kihistoria la kukuwadia
 
Inaaminika ukuwadi umetoa ajira kwa mapedejee wengi sana mjini. Kwani wale wakubwa na wakubwa wanapataje dili na hawa kina dada wa mjini?
 

Chakulaumiwa ni UMASKINI, hawa makuwadi wangekuwa wana MAWE wasingefanya ujinga huo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa na mwanamke akimtaka mwanamke, ina maana nae inabidi atafute kuwadiress ama inakuwaje? Msaada tafadhali, mpphhheewww! Kuna m'baba namtolea macho humu (PAW usione hii tafadhali)

Kuwadi hana jinsia. Kuwadi anaweza kuwa mwanamke au mwanamme

Wewe ukimuunganisha shoga yako kwa rafiki yako......wewe ni kuwadi tu :rolleyez:
 
Inaaminika ukuwadi umetoa ajira kwa mapedejee wengi sana mjini. Kwani wale wakubwa na wakubwa wanapataje dili na hawa kina dada wa mjini?

Ukuwadi ni ajira iliyostawi mjini. Tatizo ni kuwa haikatwi kodi na hivyo kulipunguzia mapato taifa na serikali :mad2:
 
Ndahani mimi ndo maana naona ni insult
sasa heri huyo umemtuma, mwingine hata hujamtuma anajitia kimbele front tu...:A S angry:

Imagine...kama na yeye anamtaka huyo dada inakuwaje? Si ataanza yeye halafu baadae atakupigia pasi baada ya kulamba chenga kadhaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…