Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,502
- 22,880
Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za mguuni...anyway kwa upande wa kwetu kimaadili ningeweza kusema mtu wa pemba lakini sasa kijana amekuja anapita kalewa kihereni mguuni nikasema niombe msaada hata siku nyingine nisije uliza kumbe utajiri wa mtu uko miguuni mwake ama ndio fasheni watanzania.