Mhh!huyu ashogeki na ukimshoga huyu atakushogua mikuki na majambia mpaka roho ikutoke!Na hawa mtawaita mashoga?
![]()
![]()
😂😂Watavaa mpk shanga za kiuno, mana.wameanza na vidani, hereni 1, zikaja 2, vikuku vya mikono, kusuka nywele, vipini vya pua. Sasa na vikuku vya miguu tena?