Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?

Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za mguuni...anyway kwa upande wa kwetu kimaadili ningeweza kusema mtu wa pemba lakini sasa kijana amekuja anapita kalewa kihereni mguuni nikasema niombe msaada hata siku nyingine nisije uliza kumbe utajiri wa mtu.........uko miguuni mwake...ama ndio fasheni watanzania...


Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?? inaashiria huyo mwanamme ni shoga
 
sweetbaby huishi ?. hivo ilikuwaje kuwaje ukapelelza kiasi hicho?. Unamuangalia tangu juu mpaka ... heee?.
Nakujulisha tu wapemba hawana tabia hiyo. Wapemba kawaangalie kariakoo wanafanya nini. wao na wachaga ni biashara tu.
 
Jamani dhana ni mbaya haifai mtu kumdhania mtu mambo maovu kwa mfano angalia hii picha kwa nyiyi mnao ishi nje ya TZ mambo kama haya huko hutafsiriwa vingene, sasa na huyo aliyevaa hicho kidude mguuni inawezekana anakotoka ni jambo la kawaida na hapa Tz tunatafsiri vingine,kwani hata bodylanguage yao inakupa muhafiliko ,lakini kusema hiyo haina maana hawa viongozi wetu ni miongoni mwa kundi lile linalotetewa na wazungu.
 

Attachments

  • God Bless them.JPG
    God Bless them.JPG
    45.4 KB · Views: 368
Wewe umeelewa isipokuwa unataka kurefusha tu mazungumzo. kwa kifupi mwanamume kuvaa heleni sikioni au kikuku mimi kwangu wote ni wachumba tu.(hii nayo ya wachumba utailetea ubishi?). Mambo ya kuiga iga utamaduni mchafu wa baadhi ya watu wa magharibi eti kwa kisingizio cha duni kuwa kijiji kimoja ni upumbavu. Toka enzi za mababu mwanume ana features ambazo zinamtofautisha na mwanamke ukiachilia mbali tofauti za kiorgan. Lakini sas hivi mpaka mtangazaji wa tv mwanaume unakuta kavaa helen
Attorney general (AG) wa kenya naye anavaa hereni kama kawaida acha kuhema wewe
 
Mwanamke akivaa hivyo anamaanisha double line, yaani voda na ule mtandao wa wajanja. Ila kwa mwanaume mh!
 
kama alivaa kikuku ujue lazima jamaa huyo ni mfugaji mzuri wa kuku sasa yeye mwenyewe ndo bango la biashara kwani hatozwi ushuru wa matangazo kwani mwili wake ndo chombo cha matangazo.
 
POPOTE utakapoona mtu(mke/mume) amevaa kikuku mguuni maana yake ni kuwa ''OFFICE YA TIGO IPO WAZI'' kama unabisha mtest uone kama hajakupa.
 
Wapigwe tuuuuuuuuuuuu!!!!!tehe tehe tehe
jamani dhana ni mbaya haifai mtu kumdhania mtu mambo maovu kwa mfano angalia hii picha kwa nyiyi mnao ishi nje ya tz mambo kama haya huko hutafsiriwa vingene, sasa na huyo aliyevaa hicho kidude mguuni inawezekana anakotoka ni jambo la kawaida na hapa tz tunatafsiri vingine,kwani hata bodylanguage yao inakupa muhafiliko ,lakini kusema hiyo haina maana hawa viongozi wetu ni miongoni mwa kundi lile linalotetewa na wazungu.
 
Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za mguuni...anyway kwa upande wa kwetu kimaadili ningeweza kusema mtu wa pemba lakini sasa kijana amekuja anapita kalewa kihereni mguuni nikasema niombe msaada hata siku nyingine nisije uliza kumbe utajiri wa mtu.........uko miguuni mwake...ama ndio fasheni watanzania...

sii sawa kabisa.
 
Siku moja nilikua Nyuma ya vijana wawili wameshikana mikono nikiwa najiuliza Vipi hii,ghafla tumesimama kwenye trafik light wakakumbatiana na kupigana denda reeefu kwa mapenzi kabisa.ilibidi nitoke mbio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom