Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,216
- 12,603
sijaelewa unataka avae hiyo kanga ugundue nini, uone kitu kinavyojimwaya mwaya ama unataka umtazame makalio yake, sis tunapenda tuwaangalie hizo sehemu zenu za nyuma zilivyobarikiwa, sasa kwa mwanaume cjui unataka ugundue nini we mwanamke, afu mna watoto, avae khanga mbele ya wanae, mimi ningekunasa kofi
