Mwanaume Kuvaa Kanga...

Mwanaume Kuvaa Kanga...

Khanga!???yaaniii Kivipi yani!???
unakaribia kuchezea kichapo kizito mno aisee!
Hana tabia hiyo na hajawahi hata siku moja kuninyooshea mkono daima nikimkosea nakua mwepesi sana wakuomba msamaha na maisha yetu sio yakupigana mkuu..
 
Hana tabia hiyo na hajawahi hata siku moja kuninyooshea mkono daima nikimkosea nakua mwepesi sana wakuomba msamaha na maisha yetu sio yakupigana mkuu..
Endelea kumlazimisha kuvaa hayo madera yenu afu utakuja kutoa ushuhuda hapa!!
Yaani sijui huwa mna matatizo gani nyie walah!
 
Yeye mwembamba,na haijalishi si yuko ndani jamani,huyu mbishi tuu akiamua lake ndio hilo hilo..
Oooh now i know..
Wanawake wana tabia za ajabu sana wakat mwingine..sousikute unataka tu na wewe uwe na ushawishi na say juu yake kwenye mambo flani ambayo si kawaida ili uitiishe kiu yako kua nawe una authority!!
Mwenzio mmoja alianzaga tu 'leo baby sitaki uende mazoezini',nikaacha wiki,wiki ya pili ya pili tena akagoma nikamwambia dandia bajaj hiyo twende wote kama unadhan naenda kwa mchepuko ila tiz siachi!

Nyie bana mnaoneaga wivu hadi our addiction to sports bana...hebu mkaushie kamanda aisee
 
Mkuu kwa mume wangu mie hua hana jokes kama kitu hapendi,ni 17yrs sasa ila ndio kama janaaaaa hata sijui anajionaje lakini hodari wa kuivua kama umeivaa...lol...........

😛 Kinachomfanya akuvue ukiwa umeivaa ndicho ambacho hataki mwingine akitake anapokua amevaa yeye.naamini umenielewa dadaake!
 
Endelea kumlazimisha kuvaa hayo madera yenu afu utakuja kutoa ushuhuda hapa!!
Yaani sijui huwa mna matatizo gani nyie walah!
Ivi umesoma vizuri kweli? wapi nimesema madera? haya nimekuelewa..
 
Wanawake si uwa wakoje yaani mambo ya ajabu ajabu!! Gadame unavaa kanga na boxer,dushele linayumba yumba tu na majirani hawa apa,..mi kitenge ntavaa asubui naenda bafuni, lakini kushinda na kanga, aseeh
 
Dah...bado kidogo utaomba avae shanga ...😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Shosti nikwambie kitu eeh,mie napenda sanaaa kumridhia mume wangu kwa vitu vingi na hua hata vyengine its wrong ila kwake hua nafumba macho,sasa nilichoomba kwake sio kitu ambacho hakiwezekani,yeye most of the time mfano nimesha vaa dnakwenda harusini iwe na mamake au na my friends anakwambia tuu mke wangu please usiende baki na mimi,ivi unajua inavyokera? ila mimi Wallah sikasiriki mbele yake,ntafurahi kama kawaida yetu sasa yeye kumwambia hicho ndio hata kusikia hataki ila pia kwa mchango niloupata hapa nimepata ufumbuzi...

Unaona sasa!???yaani ilimradi na wewe tu utoe hoja kupingana yake...sio mtazamo mzuri dada angu
 
Tatizo la akina mama ukitimiza ombi lake moja linafuatia jingine, naona ipo siku jamaa ataombwa avae bikini au vile vikambakamba ili mamsap afurahi
 
yani anakufanyia kila kitu yatizo amekataa kuvaa kanga tu

Naposema hawa wanawake bado hawajui wanachohitaji Nikuishi nao kwa akili na umakini wa hali ya juu
 
Fanya hivi, leo kabla hamjalala fanya kuloweka nguo zako zote na zake alaf bakiza kanga moja na dera moja. Kesho mkiamka wewe toka nje alaf rudi ndani mwambie tairi mbili za gari zimetolewa......( kama mna milik gari) Atatoka na mbio nyingi sana, utaona mwenyewe atakacho chukua kati ya dera au kanga
 
Watu wa Pwani mna shida sio bure
Mkuu ivi nimeomba kitu kikubwa? na pia nimeileta hapa ili nijue vipi kuitoa kichwani kwangu ni 17yrs sasa nimeona hapa ndio tunaweza kubadilishana muonekano labda mie naangalia kwa upande wangu..
 
Mkuu ivi nimeomba kitu kikubwa? na pia nimeileta hapa ili nijue vipi kuitoa kichwani kwangu ni 17yrs sasa nimeona hapa ndio tunaweza kubadilishana muonekano labda mie naangalia kwa upande wangu..
By the way mapenzi ni ubunifu na hisia pamoja na upendeleo wa vitu flan

2logM@km
 
Back
Top Bottom