Mwanaume Kuvaa Kanga...

Mwanaume Kuvaa Kanga...

Sio poa kabisa dume kuvaa khanga afu wakuta imeandikwa ...sijui nimzibiti mara kikulacho ...maneno kibao ya kike ..ebu tuacheni huo upuuzi hatuuezi
 
Kama lengo lako ni kuvaliana tu, then tafuta mavazi yanayoingia pote kama sweatpants, (T)-shirts, n.k. Khanga imekaa feminine hivi, mwisho mtuvalishe mpaka leggings.
 
Nikajua walau una hoja ya msingi sasa we kanga unanufaika nini na wewe
 
Duh anavaaje kanga yani afunge kanga kiunoni si bora taulo afu kanga na Yale maneno
 
Hahaaaaa marehemu baba Angu alikuwa anapenda Sana kuvaa khanga au msuli siku za weekend akishinda Nyumbani umefanya nimkumbuke
Wallah na enjoy sanaaaaaaaaa nikiona ila jimwanamme bishiiiiiiiiiii,sijui ndio ujanaaa..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nikajua walau una hoja ya msingi sasa we kanga unanufaika nini na wewe
Wala usikereke mkuu kila mtu ana kitu chake anacho kipenda sasa huenda na wewe una kitu sikipendi ila ntaheshimu na kama sina chakuongea hata kuka kimnya pia nikuchangia...
 
Ipo siku utamwambia avae PICHU yako.
Huu ujinga sasa, yaani unamwambia mumeo avae kanga! Ili iweje?
 
Wanawake mnapendaga stress ya vitu vya kijinga,,,kwahio mumeo akishavaa kanga ndo utapata faida gani au basi tu.

Mwisho wa siku utatamani avae na wigi aende nalo ofisini ili akuridhishe,,, kweli mungu hakukosea aliposema "Ishini nao kwa akili" mwanamke kama wewe ndio wale ukiwaendekeza mwisho anakupanda kichwani kabisa.
 
Ipo siku utamwambia avae PICHU yako.
Huu ujinga sasa, yaani unamwambia mumeo avae kanga! Ili iweje?
Mkuu sio kwa ubaya ni kwa Mapenzi na hua napenda kumuona amevaa kanga sio avae kivuani anavaa kama vile Kikoi..
 
Wanawake mnapendaga stress ya vitu vya kijinga,,,kwahio mumeo akishavaa kanga ndo utapata faida gani au basi tu.

Mwisho wa siku utatamani avae na wigi aende nalo ofisini ili akuridhishe,,, kweli mungu hakukosea aliposema "Ishini nao kwa akili" mwanamke kama wewe ndio wale ukiwaendekeza mwisho anakupanda kichwani kabisa.
Mkuu wala usitoa povu,sikua na maana mbaya baada ya kuva kikoi avae kanga kwani si sawa na kikoi tuu au?
 
Back
Top Bottom