Mwanaume Kuvaa Kanga...

Mwanaume Kuvaa Kanga...

Mkuu kwa mume wangu mie hua hana jokes kama kitu hapendi,ni 17yrs sasa ila ndio kama janaaaaa hata sijui anajionaje lakini hodari wa kuivua kama umeivaa...lol...........
Itakuwa anaogopa naye kuvuliwa mkuu... Mvumilie tu si wajua cha mezani hakikai Uvunguni?????
 
Huu mwanzo ipo siku atakuja kuomba ushauri kuwa mumewe anagoma kutiwa kidole cha makalio....Ngoja niwahi seat nisubiri
 
Akianza kukuridhisha kwa kuvaa khanga baadae utajikuta unatamani avae na shanga,mwishoe...!
We umelenga pazuri kwanza atamuomba kanga kisha chupi yake alafu shanga kesho kutwa kashamgeuza mwanamke mwenzake.nalala na bukta kama Nina mechi ya ligi kuu usiku wake
 
Habari ya Leo Waungwana naomba kuuliza wanaume ni hivi napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani ila.

huyu wangu mimi ni 17yrs sasa tangu amenioa hajawahi kuvaa kanga,kama atavaa basi ni kikoi na pia akiwa anakwenda msikitini Ijumaa,au kifupi atavaa anapo vaa kanzu ila sio eti ame relax.

Nimemuomba wapi anakwambia sasa unataka kunichefua eeeh mwisho utanambia nivae Bra yani ongea yote atakufanyia mwambie natamani unipikie atapika ila kuvaa kanga hata sijui anajisikiaje...

Nyumbani havai hata sijui nimfanyeje nimejitahidi wapiiiiiii wenzangu wenye waume zenu ebu nipeni maujanja,yote nimeweza ila hili limenishindaaa

Yani hata watoto anawafundisha the same wakitoka msikitini haya nendeni mka change vueni Vikoi ananikeraaaaaaaaaa ila nanyamaza tuu
Unataka lazima avae khanga ina nini hiyo khanga?
 
acha upuuzi we dada cjui yan huo ni uswahili ungekuwa mke wangu mm ungekula stiki kwa ujinga wako .Hv mada hii pia ni yakuleta jf kwel jf imeingiliwa
 
Mkuu wala usitoa povu,sikua na maana mbaya baada ya kuva kikoi avae kanga kwani si sawa na kikoi tuu au?
Sasa kama ni sawa mbona umesema anavaa kikoi na bado huridhiki? Ridhika bidada, maisha yenyewe mafupi haya. Binafsi kwa sababu nimekaa maeneo ambayo wanaume wanatupia kanga muda wa kurelax nakuelewa ila huyo mumeo ni mtu tofauti kidogo, inabidi umuelewe.
 
Habari ya Leo Waungwana naomba kuuliza wanaume ni hivi napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani ila.

huyu wangu mimi ni 17yrs sasa tangu amenioa hajawahi kuvaa kanga,kama atavaa basi ni kikoi na pia akiwa anakwenda msikitini Ijumaa,au kifupi atavaa anapo vaa kanzu ila sio eti ame relax.

Nimemuomba wapi anakwambia sasa unataka kunichefua eeeh mwisho utanambia nivae Bra yani ongea yote atakufanyia mwambie natamani unipikie atapika ila kuvaa kanga hata sijui anajisikiaje...

Nyumbani havai hata sijui nimfanyeje nimejitahidi wapiiiiiii wenzangu wenye waume zenu ebu nipeni maujanja,yote nimeweza ila hili limenishindaaa

Yani hata watoto anawafundisha the same wakitoka msikitini haya nendeni mka change vueni Vikoi ananikeraaaaaaaaaa ila nanyamaza tuu

Huu ndo unaitwa ujinga! Yaani mwanaume avae kanga? Kabisa na umelianzishia uzi?

Mimi mwanamke akiniletea kanga nivae atalaani siku alipozaliwa! Vibano ntakazompa siyo ya dunia hii kwa kweli
 
Fanya hivi, leo kabla hamjalala fanya kuloweka nguo zako zote na zake alaf bakiza kanga moja na dera moja. Kesho mkiamka wewe toka nje alaf rudi ndani mwambie tairi mbili za gari zimetolewa......( kama mna milik gari) Atatoka na mbio nyingi sana, utaona mwenyewe atakacho chukua kati ya dera au kanga
 
Huu ndo unaitwa ujinga! Yaani mwanaume avae kanga? Kabisa na umelianzishia uzi?

Mimi mwanamke akiniletea kanga nivae atalaani siku alipozaliwa! Vibano ntakazompa siyo ya dunia hii kwa kweli
Inaweza kua ujinga kwako ila sio kwa mwengine,ebu soma uielewe umekimbilia kijibu bila kuelewa.
 
Sasa kama ni sawa mbona umesema anavaa kikoi na bado huridhiki? Ridhika bidada, maisha yenyewe mafupi haya. Binafsi kwa sababu nimekaa maeneo ambayo wanaume wanatupia kanga muda wa kurelax nakuelewa ila huyo mumeo ni mtu tofauti kidogo, inabidi umuelewe.
Inshallah.
 
acha upuuzi we dada cjui yan huo ni uswahili ungekuwa mke wangu mm ungekula stiki kwa ujinga wako .Hv mada hii pia ni yakuleta jf kwel jf imeingiliwa
Inaonyesha wazi wewe ni kiumbe wa aina gani kwa kuandika ulicho andika,kwani ni vibaya kusema nnachi jisikia?au JF inabagua nani a post nani anachangie? wala hukua na lazima yakujibu ungepita kimnya kimnya pia ungekua umesha jibu na wala sio lazima ujibu kila kinacho postiwa,ebu jifunze uungwana japo kupitia kwa wengine,naamini ni mtu unaejielewa nini kimekuwasha kwenye huu uzi mpaka ukaanzaa kusema yasio khusu sijui ila ni sawa afadhali umejibu umetoa joto lako..
 
Miaka 17 kwenye ndoa bado tu unahangaika na mumeo? Tulia bana ucheze na wajukuu zako
 
Mkuu mimi navaa,njoo Ofisin na khanga yako utafurahi
 
Vazi la khanga uvaliwa husiku kati yamke namume tena wakiwa wawili tu aidha wakiwa chumbani au sebuleni kama watakuwa wanangalia TV au maongezi tu au wanakula hasa kwa watu wa pwani
 
Habari ya Leo Waungwana naomba kuuliza wanaume ni hivi napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani ila.

huyu wangu mimi ni 17yrs sasa tangu amenioa hajawahi kuvaa kanga,kama atavaa basi ni kikoi na pia akiwa anakwenda msikitini Ijumaa,au kifupi atavaa anapo vaa kanzu ila sio eti ame relax.

Nimemuomba wapi anakwambia sasa unataka kunichefua eeeh mwisho utanambia nivae Bra yani ongea yote atakufanyia mwambie natamani unipikie atapika ila kuvaa kanga hata sijui anajisikiaje...

Nyumbani havai hata sijui nimfanyeje nimejitahidi wapiiiiiii wenzangu wenye waume zenu ebu nipeni maujanja,yote nimeweza ila hili limenishindaaa

Yani hata watoto anawafundisha the same wakitoka msikitini haya nendeni mka change vueni Vikoi ananikeraaaaaaaaaa ila nanyamaza tuu
Umeomba ushauri,sasa sikiliza.Usirudie kumshawishi,heshimu maamuzi yake.Si vizuri kumlazimisha mtu kitu ambacho hapendi kwa nia tu ya kufurahisha nafsi yako,hata mimi siwezi kuvaa khanga hata kwa mtutu,kwa tulio wengi inaleta tafsiri mbaya sana mwanaume kuvaa khanga hata kama ni chumbani ambapo hauonwi na mtu.Angalia maoni ya majority ya wanaume kwenye huu uzi wako nadhani utatumia busara,ni selfishness kumlazimisha mtu kitu asichopenda kwa nia tu ya kufurahisha nafsi yako.
 
Back
Top Bottom