Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
NIMPENDENANI siku akikubali kuvaa ulete hapa mrejesho akianza pia tabia za ajabu ajabu useme.
Hapo ndio pale tunaposema kila mtu na choice yake..Mwanaume anendeza akivaa bukta bwana na ile ya juu kata mkono sijui mwaitaje.... Mume wangu sitapenda avae khanga milele...
Mkuu unge jaribu japo kidogo kufikiria zaidi siamini kama hapo ndio mwisho wako wa kufikiri,ebu nipe totafuti ya kikoi na kanga?NIMPENDENANI siku akikubali kuvaa ulete hapa mrejesho akianza pia tabia za ajabu ajabu useme.
hahahahahha eti hapo kuna ubaya gani? mie naona ni sawa na kikoi tuu..Me navaa sana tu khanga ya dem wangu tena kaniachia kabisa iwe kama kikoi.Leo asubuh nimeifua
Mkuu huvai ukiwa njee ivooo,ukiwa ndani chumbani au hata ukumbini..hata kwetu huwezi vaa kanga aisee!
Mwanzoni nimechangia hapa na kusema hivyo vitu vya kike kuna wanaume huwa hata hawataki kuzisikia nami pia siwezi kuanza kufuatilia kuhusu vikoi na kanga nikaacha kujua Boxer na Kaoshi.Mkuu unge jaribu japo kidogo kufikiria zaidi siamini kama hapo ndio mwisho wako wa kufikiri,ebu nipe totafuti ya kikoi na kanga?
Shosti havai akienda dukani,ikiwa kikoi unakijua nadhani utakua umenielewa naongelea nini...kule kwetu wakiona mwanaume amevaa kanga sidhani kama atapita mtaani akiwa na amni
hii dunia ina maajabu kila kona, hili nalo ni jambo la kumsumbua mtu akili duuuuh
Hahahaaa. Jirani unavyojua kunipamba lol.Huko uzunguni hamna hayo mambo.

Mkuu ebu tulia uisome pole pole nadhani umeielewa vibaya,kwani kikoi si sawa na kanga tuu?maajabu hayatakwisha kwenye hii dunia na hili ni mojawapo ya lingine na linahitaji watalii kuja kuongeza mapato kwa nchi yetu!!!
mwanaume avae khanga!!! ili iweje!!!!!
harafu akisha vaa umwambie ageuke umuone tako!!!
kwa kweli hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Wala me sioni tatizo coz nimekulia ktk familia yenye utaratibu huo yan baba yangu alikuwa akivaa sana khanga ya mama haswa wakat anaenda kuoga.hahahahahha eti hapo kuna ubaya gani? mie naona ni sawa na kikoi tuu..
kwani mtu kumridhisha mkeo shida iko wapi? anajitia uzungu tuu na ujana..Hiyo sasa labda hapendi muulize apendacho
SAFIIIIIIIIIIIII...Wala me sioni tatizo coz nimekulia ktk familia yenye utaratibu huo yan baba yangu alikuwa akivaa sana khanga ya mama haswa wakat anaenda kuoga.
Me nimejiongeza kwa kulala na khanga kabisaa
Kanga...........????jamani havai akitoka njee akiwa ndani ndio avae kwni kuna ubaya gani?
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana hata sijui why,haya wacha tuu..Mwanzoni nimechangia hapa na kusema hivyo vitu vya kike kuna wanaume huwa hata hawataki kuzisikia nami pia siwezi kuanza kufuatilia kuhusu vikoi na kanga nikaacha kujua Boxer na Kaoshi.
Ni kweli kwa ndani inaweza isiwe shida!Mkuu huvai ukiwa njee ivooo,ukiwa ndani chumbani au hata ukumbini..
Yah ni kawaida yangu usishangae.Mkuu unatumia nguvu nyingi sana hata sijui why,haya wacha tuu..
Yeye mwembamba,na haijalishi si yuko ndani jamani,huyu mbishi tuu akiamua lake ndio hilo hilo..Kanga...........????
Kuna Wanaume Wana Mitako Mikubwa Iyooo
Akivaa Kanga Waweza Sema Mashalaaahh Mtoto Kajaliwa Uyu
Kiviere Wa Usangi
Kanga...........????
Kuna Wanaume Wana Mitako Mikubwa Iyooo
Akivaa Kanga Waweza Sema Mashalaaahh Mtoto Kajaliwa Uyu
Kiviere Wa Usangi
Kama yule mkurugenzi wa Beijing