snowbar
Member
- Oct 30, 2017
- 21
- 10
Yeye pia Babake anavaa ila yeye ndio kisirani ..
Pole. unajua kumbadilisha pia inahitaji muda sana maana hakuwa na tabia hio au umnunulie vikoi vyepesi mithili ya khanga!.
Yeye pia Babake anavaa ila yeye ndio kisirani ..
Mkuu Wallah hata kitenge hatakiiii,yani mbona ningefurahi anagekubali kitenge yani chochote nnacho vaa mie mfano hata viatu vya chooni havai,Taulo sawa Perfume pia ana chagua sijui anaonaje kitu cha kike...Ni kweli kwa ndani inaweza isiwe shida!
Ila si Kuna tofauti ya kanga Na kitenge?
Kama ataridhika hebu mpe kitenge bhana......
nadhani kitenge kizito kidogo! au nimekosea?

Hua anavyaa vikoi vyeupe tena akivaa kanzu akirudi tuu home anaenda kuvua anava suruali kipande na ile flana ya ndani kamalizaaa,na vile anakwenda GYM sijui anajionaje.Pole. unajua kumbadilisha pia inahitaji muda sana maana hakuwa na tabia hio au umnunulie vikoi vyepesi mithili ya khanga!.
mmmmmm hahahaha..Anza kuvaa kikoi chake labda na yeye atafanya kulipiza![]()
Hunivalish Kanga Hanga Kwa Mtutu Wa Bunduki Ya Msauth KoreaYeye mwembamba,na haijalishi si yuko ndani jamani,huyu mbishi tuu akiamua lake ndio hilo hilo..
hahahaha yani mkuu unadhani naweza kufanya hivyo? huyu mbishi tuu na akisema kitu hataki huna lakumwambia..Anachohofia baadae utakujakumwambia avae na Pichu zk cku za week end so anakataa mapema
je kitenge?Hunivalish Kanga Hanga Kwa Mtutu Wa Bunduki Ya Msauth Korea
Kiviere Wa Usangi
Natumaini hili ndo jibu unalotakiwa kuwa nalo kutoka kwa mumeo,yeye kuna vitu anapenda ila kuvaa khanga hapendi...Wala usikereke mkuu kila mtu ana kitu chake anacho kipenda sasa huenda na wewe una kitu sikipendi ila ntaheshimu na kama sina chakuongea hata kuka kimnya pia nikuchangia...
Ahsante mkuu nimekuelewa..Natumaini hili ndo jibu unalotakiwa kuwa nalo kutoka kwa mumeo,yeye kuna vitu anapenda ila kuvaa khanga hapendi...
Nadhan nimekujibu...ukiendelea kumlazimisha mtaingia kwenye malumbano kisa vitu vya kijinga
Angalau Hata Kitenge Mana Kuna Mkurya Mmoja Iv Nilikuwa Namuona Anavaaaje kitenge?
kweli mkuu nakuelewa,ila sometimes nakua mbishi mie lol.......Kila kitu kinaanza na taratibu kama udogoni halikuwa Jambo la kawaida kwake
Sasa huoni hapo umetoa Option sasa huyu bwana hata kitenge hatakii.Angalau Hata Kitenge Mana Kuna Mkurya Mmoja Iv Nilikuwa Namuona Anavaaa
Kiviere Wa Usangi
Unajua Ivi Vitu Ni Vya TamadumSasa huoni hapo umetoa Option sasa huyu bwana hata kitenge hatakii.
Mimi tangia udogoni ilikuwa kawaida sababu mama na baba walinizoesha hivyo sasa kwangu imekuwa kama tabia na Imani ukiwa unamzoesha hasahasa muda wa kwenda kuoga jaribu na trick hiyokweli mkuu nakuelewa,ila sometimes nakua mbishi mie lol.......
kama ni chumbani tu sawa ila kwetu hata akikutwa sebuleni mtaani hata akipita amevaa tu suruali hapakalikiShosti havai akienda dukani,ikiwa kikoi unakijua nadhani utakua umenielewa naongelea nini...
Mkuu kwa mume wangu mie hua hana jokes kama kitu hapendi,ni 17yrs sasa ila ndio kama janaaaaa hata sijui anajionaje lakini hodari wa kuivua kama umeivaa...lol...........Mimi tangia udogoni ilikuwa kawaida sababu mama na baba walinizoesha hivyo sasa kwangu imekuwa kama tabia na Imani ukiwa unamzoesha hasahasa muda wa kwenda kuoga jaribu na trick hiyo