Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,619
HahahahahaAnataka ushauri Ila ni mbishi.
HahahahahaAnataka ushauri Ila ni mbishi.
ADah! Matatizo haya. Kuna mmoja alianza kuniambia nijaribu sketi yake. Nikamwambia kuanzia siku hiyo sitaki ujinga kama huo, hakurudia tena. Nilitaka mpaka kumpiga, hakurudia tena, ukiwachekea wao wanaona kawaida tu.
Dah ungevaa sketi sijui ingekuwaje man,,,hilo dis lingeanza kukushukia mzee ingefikia steji unafulishwa nguo mwenyewe.
A
Yeye pia Babake anavaa ila yeye ndio kisirani ..Basi ninekushauri umvumilie tuu pengine culture tofauti.. Ukilipenda boga penda na ua lake
jamani havai akitoka njee akiwa ndani ndio avae kwni kuna ubaya gani?Mwanaume Anavaa Taulo
Mwanamke Anavaa Kanga
Huko uzunguni hamna hayo mambo.Hahahaaaa. Jirani kama mambo yenyewe ndio kama haya na yale ya jana kweli kuna raha aiseee.
kule kwetu wakiona mwanaume amevaa kanga sidhani kama atapita mtaani akiwa na amniLabda kitenge bwana!
khanga laini mno.....
Mkuu mie hiyo style sina kabisaa ila yes namfungashie mie nguo zake Perfume Al Oud na kila kitu chake..Hilo ni limbwata la kanga kapigwa na mke wake hasa hasa akisafiri anamkabidhi hiyo kanga eti awe anasikia harufu yake asiweze kutamani mwanamke mwingine
Ni tamaduni tuu za watu haijalishi wapi unaishi dear..Huko uzunguni hamna hayo mambo.
hata kwetu huwezi vaa kanga aisee!kule kwetu wakiona mwanaume amevaa kanga sidhani kama atapita mtaani akiwa na amni
hii dunia ina maajabu kila kona, hili nalo ni jambo la kumsumbua mtu akili duuuuh
hahahaha tumewaacha mwaya ila nilidhani wa bara pia hua wanavaa........Wanaume wa pwani ndio wanavaa kanga... Huku bara mtuache tuuu.