Mwanaume kuvaa hereni ni kutamani yale wanaofanyiwa wanawake kwa waume zao?

Ushamba au ujanja?
d215c5ef512b72dfaf6e18e36cd8742d.jpg

fa841c09ce96a2f9eda2b3adf2d26d28.jpg

Tunakoelekea wanaume watavaa bikini kwa kisingizio eti ni kiburi cha pesa na kuonekana wa kisasa
 
US Mwanaume ukivaa hereni Sikio la Kushoto Maana yake ni Mfirwaji Ila kwa hapa Tanzania sijui Kama ni ishara ya kitu au urembo na ujanja tu.

By Pohamba wa jf
 
Vipi kuhusu ambao tamaduni zao zinaruhusu wao kuvaa heleni kama wamasai?

Kimjaacho mtu ndiyo kimtokacho kama wewe mawazo yako yapo kishoga Lazima wewe ndiyo unapumuliwa.
.Bufa na wewe unavaa hereni nini? mimi mwenyewe navaa
 
Vipi kuhusu ambao tamaduni zao zinaruhusu wao kuvaa heleni kama wamasai?

Kimjaacho mtu ndiyo kimtokacho kama wewe mawazo yako yapo kishoga Lazima wewe ndiyo unapumuliwa.
Wavaa heleni wengi lazima wa like comment hii.
 
Kuvaa hereni kwa mwanaume ni jambo la kawaida mno.

Nakumbuka mwaka 2013 nyumbani & ndugu zangu walinipiga vita sana na kutaka kunitenga eti kisha navaa hereni masikio yote mawili, nimetoboa pua, nina kikuku mguuni mwa kushoto na nimechora tattoo, kuvaa cheni pia kifuani, na kupaka rangi kucha zangu, kushuka dread & kuweka dawa nywele, ila sikujali hilo mpaka sasa bado navaa hivyo na nina mke na watoto wawili......

Ni kuishi jinsi unavyotaka wala usiangalie jamii itakufikiriaje na kujikubali.. Na kujitambua wewe ni nani.
Mkuu Kwahiyo umeoana dada zako wanafaidi sana ?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom